Watu wasio na sifa humtumikia mtu na siyo nchi

Welcome home Mr Jerusalem. We shall over come
 

Takukuru wenyewe wanaenda lakini wanajua kabisa wanatumikia siasa chafu. Na wakija huku mitandaoni ndio wanakuta tunawapa ukweli wao mpaka wanajiona choo.
 
TAKUKURU wamepoteza sifa ya kuanzishwa kwake. Na kiongozi wao kutwa kucha na nguo za JWTZ as if ile ni ofisi ya Jeshi. Ofisi za kiraia unavaaje sare za Jeshi? Hajitambui na ndio maana kazi imemshinda.

Aliyemchagua ndio anaona fahari kuwa na mtu mwenye hayo magwanda ofisini. Kimsingi mteuzi wake anapenda matumizi ya nguvu na sio ufanisi. Na huyo mteuliwa ameshajua mteuzi anakogeka na hayo mavazi. Ukitaka kucheka ngoja uone huyo boss wa hiyo taasisi akiongea, full mikwara maana anajua hizo swagga zinamkosha mteuzi. Lakini ukifuatilia ufanisi utakuta ni sawa na kuvaa kinyago ili kumtishia mtoto anywe uji.
 
Mtabweka Sana humu.mwambieni Mbowe arudishe bilioni nane aluzochukua
Sio siri tena Lumumba hawana hoja ya msingi.
Tangu siku Mbowe alipokumbusha juu ya uhitaji wa TUME HURU ya uchaguzi mnapata tabu sana.
Mnaweweseka ovyo, wengine wameanza nyimbo za kuichukia democracy ya kweli.
Waliostahili kuheshimika kwa umri na nyadhifa zao sasa nao ni vituko kwa kuropoka na kubweka bweka ovyo ili kutisha.
Wengine walienda hata kujificha kwao.
MOTO bado ni uleule. SA mpaka kuuondoa ubaguzi waliuwawa, wakabambikiwa kesi, wakakamatwakamtwa kama kuku.
We shall overcome
 
Mimi nimepata point moja kwa mtoa mada, kwamba wale wote waliosababisha hati chafu kwa chama Cha mapinduzi wanapaswa nao kuchunguzwa na TAKUKURU Kama kweli Ni chombo kinachotenda haki na ambacho hakipendelei Wala kumuonea mtu.
 
Tumbo vs njaa...kila mtu anatetea tumbo lake.

Ukipingana na mkuu unatumbuliwa, option inabaki moja tu kumsifia sifia na wewe utaneemeka.

Angalia yule naibu waziri wa afya aliyetumbuliwa...hatujui hata halipo sasa.
Pole sana,
Ndugu yangu, ukijiachia ukaendekeza njaa utakujajikuta unavuliwa hata utu na ubinadamu ili tu upate pa kuganga njaa.
Sijui utakuwa umebaki na nini cha kujivunia.
Ee Mungu twakuomba unyonge wa aina uishie kwako, ili angalao wanao na vizazi vyako wabaki kuwa salama.
AMEN
 
Hili kweli hawalijui, wanasubiri mpaka waelimishwe?
Sasa kazi hiyo inafanywa kwa ufanisi na lumumba wenyewe wakiongozwa na shetani.
Hata SA ilichukuwa muda kidogo wananchi kuzinduka kwa sababu ya uoga na hasa njaa. Hivi vilijenga usaliti.
Mandela wakati anakamatwa na hatimae kufungwa maisha, aligeukwa mpaka na baadhi ya ndugu zake wa damu.
AMEN
 
Andiko Safi kbs ila hapo kwenye Mh Mbowe ndio umelitia Najisi kesho kutwa ataenda Magogoni hlf watakuwa kitu kimoja mie nafikiri tusimame kwenye kupata haki zetu ila kumuamini Mwana Siasa tna watanzania ambao wote wana bei hapana...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Asante sana mtoa mada.
 
Umeielewa hoja, au wewe ndiye unayebweka?
 
Umehoji vizuri huku ukiwa unajua majibu ya maswali yako.
Kwa haraka wanaweza kukuelewa wewe ni lumumba.

Nijibu ninavyofahamu mimi.
UPUMBAVU WA WANANCHI, NI FURAHA YA WATAWALA. NI WANANCHI WACHACHE SANA WANAOJITAMBUA NA KUZIFAHAMU HAKI ZAO NA JINSI MAMBO YANAVYOENDESHWA HOVYO.
NDIYO HAWA WANAOPIGA KELELE
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…