Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu unataka vijana waweke mbinu zao hapa ili Mafwele awawahi wasimfikie Soka in time?Nauliza tu maana Bavicha huwa wanajinasibu kama Taasisi ya Vijana inayoongoza Barani Africa na Asia
Wamechukua hatua gani kumtafuta Soka
Yesu alisema " Mchungaji Mwema huwaacha nyikani kondoo Tisini na Kenda na kurudi kumtafuta kondoo Mmoja aliyepotea"
Jumaa Mubarak 😃
Tukuulize wewe uliye kwenye kundi la watekaji........watekaji 😀 😀 😀 😀 😀Nauliza tu maana Bavicha huwa wanajinasibu kama Taasisi ya Vijana inayoongoza Barani Africa na Asia
Wamechukua hatua gani kumtafuta Soka
Yesu alisema " Mchungaji Mwema huwaacha nyikani kondoo Tisini na Kenda na kurudi kumtafuta kondoo Mmoja aliyepotea"
Jumaa Mubarak 😃
Au mnagonga mbege tu? 😀😀Tukuulize wewe uliye kwenye kundi la watekaji........watekaji 😀 😀 😀 😀 😀
Usiufurahie sana msiba wa Bavicha sasa hivi hata maccm wanauliwa na kikosi kazi,si unamkumbuka huyu Comrade, ipo siku mwanao au mdogo wako atatekwa na kuuliwa shetani hana rafiki,CCM kimekuwa Chama Cha Mashetani siku hiziAu mnagonga mbege tu? 😀😀
Huyu walimtumia mangi mwenzake kumlisha sumu inasikitisha sanaUsiufurahie sana msiba wa Bavicha sasa hivi hata maccm wanauliwa na kikosi kazi,si unamkumbuka huyu Comrade, ipo siku mwanao au mdogo wako atatekwa na kuuliwa shetani hana rafiki,CCM kimekuwa Chama Cha Mashetani siku hizi
sasa kama unajua usalama ni mdogo kwann utafute mattzoUsalama ni mdogo sana aisee..
Matatizo unayatafutaje ukiambiwa usalama ni mdogo yeyote alie ndani ya mipaka ya Tanzania anakua hayupo salama hata wewe ambae hautafuti Matatizo.sasa kama unajua usalama ni mdogo kwann utafute mattzo
usalama upo mkuu ndo maana bado tunaish humu humu,Matatizo unayatafutaje ukiambiwa usalama ni mdogo yeyote alie ndani ya mipaka ya Tanzania anakua hayupo salama hata wewe ambae hautafuti Matatizo.
Huu ndio ukweli mchungu hawataki kuusikia.Labda walikuwa wanatembea na wake za watu, jamaa wameamua kulipiza. Vijana wanapenda sana mashangazi
Sasa kama walitekwa, hii story umesimuliwa na nani? Maana walio experience hili jambo hawapo.
Halafu suala la ajenda za nchi, usijiweke mbele, subiri mifumo yenyewe iji-set. Jamii yenyewe huwa inajiivisha, na inakuwa tayari kwa mabadiliko. Ndio maana kwa Tanzania, mnataka watu waandamane, kwanza watu wenyewe wanawashangaa. Mnasema sijui katiba mpya, jamii kwa ujumla haijafikia hatua ya kuihitaji as long as serikali haiiwekei makucha jamii hiyo kwa ujumla wake, ukiacha wake wenye akili zilizopiga shoti kama Mdude Nyagali. Hawa lazima wapate mikwaruzo, kwa kuwa wanatembea kwenye eneo lenye umeme mkubwa.
Mchezo wa kutumia kampuni za simu kufuatilia watu, whereabouts zao na mazungumzo yao sasa hivi umerudi tena kwa kiwango kikubwa.Siku ya tukio Soka alipigiwa simu na mtu aliyejitambulisha ni Askari akimtaka
Yeye aniwaiga kina Mbowe wale wanajuwa siasa ya nchi na ile Chadema ni mradi wake wakupigia tu ndani ya nafsi anajuwa fika hawezi kuchukuwa nchi ila anatumika tu kama wengine. shida watu wanawaamini hawa watu.Ninajali sana. Ndiyo maana nasema kama vijana wanaweza kuepuka "harakati za kushindana na Dola" bora wafanye hivyo.
Nimemfuatilia sana huyu kijana Deusdedith Soka. Amewahi kushikwa na Polisi zaidi ya mara 3. Kila akishikwa ni familia yake ndiyo ina suffer. Lakini wale mashabiki wa harakati wanamuona kama bingwa wao au shujaa.
Mtu kma huyu dogo anajidanganya tu kudhani anaweza kubadili mfumo wa dola. Hata hawa akina Mbowe ambao ni viongozi wa CHADEMA leo hii waliamza taratibu siyo kwa jeuri na kiburi kama cha huyu dogo.
Mkuu uko DEEP!!Yeye aniwaiga kina Mbowe wale wanajuwa siasa ya nchi na ile Chadema ni mradi wake wakupigia tu ndani ya nafsi anajuwa fika hawezi kuchukuwa nchi ila anatumika tu kama wengine. shida watu wanawaamini hawa watu.