Pre GE2025 Watu Wasiojulikana: Malisa aelezea tukio la kutekwa kwa Deus Soka na vijana wengine wawili wa CHADEMA

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Takataka, yaani unaamini propaganda za kijinga.
 
Nauliza tu maana Bavicha huwa wanajinasibu kama Taasisi ya Vijana inayoongoza Barani Africa na Asia

Wamechukua hatua gani kumtafuta Soka

Yesu alisema " Mchungaji Mwema huwaacha nyikani kondoo Tisini na Kenda na kurudi kumtafuta kondoo Mmoja aliyepotea"

Jumaa Mubarak 😃
 
Mkuu unataka vijana waweke mbinu zao hapa ili Mafwele awawahi wasimfikie Soka in time?
 
Tukuulize wewe uliye kwenye kundi la watekaji........watekaji 😀 😀 😀 😀 😀
 
Au mnagonga mbege tu? 😀😀
Usiufurahie sana msiba wa Bavicha sasa hivi hata maccm wanauliwa na kikosi kazi,si unamkumbuka huyu Comrade, ipo siku mwanao au mdogo wako atatekwa na kuuliwa shetani hana rafiki,CCM kimekuwa Chama Cha Mashetani siku hizi
 
Attachments

  • FB_IMG_1724402920398.jpg
    37.7 KB · Views: 5
Usiufurahie sana msiba wa Bavicha sasa hivi hata maccm wanauliwa na kikosi kazi,si unamkumbuka huyu Comrade, ipo siku mwanao au mdogo wako atatekwa na kuuliwa shetani hana rafiki,CCM kimekuwa Chama Cha Mashetani siku hizi
Huyu walimtumia mangi mwenzake kumlisha sumu inasikitisha sana
 
sasa kama unajua usalama ni mdogo kwann utafute mattzo
Matatizo unayatafutaje ukiambiwa usalama ni mdogo yeyote alie ndani ya mipaka ya Tanzania anakua hayupo salama hata wewe ambae hautafuti Matatizo.
 
Masauni bado yupo ofisini?
Samia anamuogopa masauni?
Samia anamuogopa IGP.
Hizi kashfa za jeshi la polisi zinampendeza samia?
 
Hawa vijana wanadhani kuwa manaharakati lazima utukane watu na kudharau mamlaka, hawa vijana haya ndio wanayatafuta watiwe ndani ndio wapate trend. Kijana mdogo badala kupiga kazi unataka kujifanya mkombozi watu wanakula maisha.
 
Huu ndio ukweli mchungu hawataki kuusikia.
 
Siku ya tukio Soka alipigiwa simu na mtu aliyejitambulisha ni Askari akimtaka
Mchezo wa kutumia kampuni za simu kufuatilia watu, whereabouts zao na mazungumzo yao sasa hivi umerudi tena kwa kiwango kikubwa.
 
Yeye aniwaiga kina Mbowe wale wanajuwa siasa ya nchi na ile Chadema ni mradi wake wakupigia tu ndani ya nafsi anajuwa fika hawezi kuchukuwa nchi ila anatumika tu kama wengine. shida watu wanawaamini hawa watu.
 
Usalama wa taifa wanafanya wanachotakiwa kufanya, USALAMA WA TAIFA, ukileta chochoko zakutaka kuharibu usalama utashughulikiwa tu.
 
Yeye aniwaiga kina Mbowe wale wanajuwa siasa ya nchi na ile Chadema ni mradi wake wakupigia tu ndani ya nafsi anajuwa fika hawezi kuchukuwa nchi ila anatumika tu kama wengine. shida watu wanawaamini hawa watu.
Mkuu uko DEEP!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…