Watu wasiokunywa pombe na kuchangamana na watu, kwa nini ni wanafiki sana?

Watu wasiokunywa pombe na kuchangamana na watu, kwa nini ni wanafiki sana?

Kamanda Asiyechoka

JF-Expert Member
Joined
Sep 13, 2020
Posts
3,315
Reaction score
5,058
Watu wa aina hii hufanya kazi kwa majungu na kusengenyana.

Huwa hawajiamini na mara nyingi hutegemea majungu ili kumjua mtu.

Mara nyingi hata uwezo wao wa kupiga mzigo/ perfomance ni mdogo bali hutegemea majungu ili kusurvavive.

Hupenda sana kuona watu wanafarakana makazini.
 
Hahaaaa... vipi..umepigwa jungu maeneo ya Ufipani.?
 
Nijuavyo Mimi, popote penye kutafutwa riski ndio nyumbani Kwa majungu, na mbaya zaidi iwe ni jamii iliyolelewa kimajungu na fitina kutokana na mazingira ya asili.

Hiyo ni miongoni mwa sababu ya Waafrika kushindwa kupata maendeleo ya kweli zaidi. Ya maendeleo ya takwinu zisizopimika kiuhalisia za kwenye takwimu na siasa za majukwaani.
 
wanywa soda na na mnaoshinda vijiwe vya kahawa.
mnaitwa !
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hata mahali hakuna vita!
Tukiwapasua tunaonekana sisi hatuna utu tunampiga mtu ambae anaongozwa na pombe sio akili yake.

Ngoja tuendelee kunywa soda tuwalinde ndugu zetu sije wakazima kwa pombe halafu wakaja wakabakwa lawama tukapewa sie.
 
Wanafki utawajua pale utakapoacha pombe na kutoonekana kijiweni kama zamani.

Utakaowapoteza hao ndo wanafki.

Sasa hivi wanaokununulia pombe na kusapoti ujinga ujinga wa ulevini ndo unawaona wa maana.

Unaowanunulia ambao ndo fanbase yako kubwa kwa sasa hawatataka ku mingle na wewe siku ukiwa huonekani tena kijiweni.

Its just a matter of time.
 
Tukiwapasua tunaonekana sisi hatuna utu tunampiga mtu ambae anaongozwa na pombe sio akili yake.

Ngoja tuendelee kunywa soda tuwalinde ndugu zetu sije wakazima kwa pombe halafu wakaja wakabakwa lawama tukapewa sie.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Wana gubu hawa jamani!!
Soda wanywe wengine taabu anapata yeye eti[emoji2369]
 
"..usishangae tunashika mashine gan alaf tunaingia mtaani, naruka ukutaa nazama straight mpaka ndani, nakupasua kichwani, nakuchukulia M flani, natorokea dirishani, baadaye naibukia mtaani...."
 
Watu wa aina hii hufanya kazi kwa majungu na kusengenyana.

Huwa hawajiamini na mara nyingi hutegemea majungu ili kumjua mtu...
Ukitaka kuijua hasira ya mnywa pombe ww mwaga pombe yake.😂

Umechemsha mzee. Kwani majungu, kusengenyana na kumjua mtu vinahusikaje katika uwezo wa kupiga mzigo/perfomance mkuu? au sikuelewa ni mzigo gani?
 
Back
Top Bottom