Mkaruka
JF-Expert Member
- Feb 5, 2013
- 19,629
- 34,199
Sasa mtu asiyekunywa pombe na kuchangamana na watu, hayo majungu anapiga na nani ???Watu wa aina hii hufanya kazi kwa majungu na kusengenyana.
Huwa hawajiamini na mara nyingi hutegemea majungu ili kumjua mtu.
Mara nyingi hata uwezo wao wa kupiga mzigo/ perfomance ni mdogo bali hutegemea majungu ili kusurvavive.
Hupenda sana kuona watu wanafarakana makazini.
Naona umeshagonga Kvant ndio unaanzisha thread.