Kamanda Asiyechoka
JF-Expert Member
- Sep 13, 2020
- 3,315
- 5,058
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Walevi wakilewa bhana wanatafuta vita kwa udi na uvumba
Tukiwapasua tunaonekana sisi hatuna utu tunampiga mtu ambae anaongozwa na pombe sio akili yake.[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hata mahali hakuna vita!
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Tukiwapasua tunaonekana sisi hatuna utu tunampiga mtu ambae anaongozwa na pombe sio akili yake.
Ngoja tuendelee kunywa soda tuwalinde ndugu zetu sije wakazima kwa pombe halafu wakaja wakabakwa lawama tukapewa sie.
Word.Wanafki utawajua pale utakapoacha pombe na kutoonekana kijiweni kama zamani.
Utakaowapoteza hao ndo wanafki...
Tuishi nao tu[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Wana gubu hawa jamani!!
Soda wanywe wengine taabu anapata yeye eti[emoji2369]
Ukitaka kuijua hasira ya mnywa pombe ww mwaga pombe yake.😂Watu wa aina hii hufanya kazi kwa majungu na kusengenyana.
Huwa hawajiamini na mara nyingi hutegemea majungu ili kumjua mtu...
Watu wa aina hii hufanya kazi kwa majungu na kusengenyana.
Huwa hawajiamini na mara nyingi hutegemea majungu ili kumjua mtu...