Watu wasiokunywa pombe na kuchangamana na watu, kwa nini ni wanafiki sana?

Sasa mtu asiyekunywa pombe na kuchangamana na watu, hayo majungu anapiga na nani ???


Naona umeshagonga Kvant ndio unaanzisha thread.
 
Napinga kwa nguvu zote.Halafu hapo ulipo bila shaka K-Vant imekuhamasisha kuandika haya.
 
Majungu ni tabia ya mtu haihusiani na suala LA kunywa pombe
 
Wanatabia za kike na marafiki zao maofisini ni watoto wa kike
 
Ukiwa na kipato cha uhakika na ni mnywaji kupitiliza, wasiokunywa wanafurahia sana sana.
Ghafla ukiacha kunywa pombe, wanakasirika kwelikweli!
Kila siku maswali hadi wanakera:
"Eti umeacha pombe!? Aaa wapi, sema umepumzika tu, uache pombe wewe!?
Ni kweli umeacha pombe?"
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…