Watu wasiyojulikana wamshambulia Mauzinde kwa kumkata masikio na kumtelekeza msituni

Watu wasiyojulikana wamshambulia Mauzinde kwa kumkata masikio na kumtelekeza msituni

Cute Wife

JF-Expert Member
Joined
Nov 17, 2023
Posts
1,906
Reaction score
5,000
Screenshot 2024-06-03 173715.png

Hussein Abdala maarufu Mauzinde (30), mkazi wa Rahaleo Mkoa wa Mjini Magharibi, Zanzibar alitekwa na watu wasiyojulikana, wakamshambulia kwa kumkata masikio yote mawili, wakamfunga bandeji na kisha kumtelekeza msituni

Tukio hilo lilitokea jana Jumapili Juni 2, 2024 usiku eneo la Kibele Wilaya ya Kati Mkoa wa Kusini Unguja.

Kamanda wa Polisi Mkoa wa Kusini Unguja, Daniel Shila amethibitisha kutokea kwa tukio hilo na ufafanuzi zaidi juu ya suala hilo utatolewa baada ya kujiridhisha zaidi na tukio hilo.

PIA SOMA
- Msanii Baby J na mwenzake Mauzinde watakiwa kukamatwa wakidaiwa kuandaa sherehe iliyokuwa na vitendo vya kuvunja maadili

- Zanzibar: Mwanaume afikishwa Mahakamani kwa kukata viuno hadharani

- Nani kamfadhili Mauzinde kwenda Canada?
 
Back
Top Bottom