Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wangemfanyia ungariba kidogo apunguze munkari.Wameyacherenga kdg t sio sana
pale serikali inapokuwa sehemu ya bulling ya baadhi y raia wake ndio mambo kama haya utokea..
Hussein Abdala maarufu Mauzinde (30), mkazi wa Rahaleo Mkoa wa Mjini Magharibi, Zanzibar alitekwa na watu wasiyojulikana, wakamshambulia kwa kumkata masikio yote mawili, wakamfunga bandeji na kisha kumtelekeza msituni
Tukio hilo lilitokea jana Jumapili Juni 2, 2024 usiku eneo la Kibele Wilaya ya Kati Mkoa wa Kusini Unguja.
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Kusini Unguja, Daniel Shila amethibitisha kutokea kwa tukio hilo na ufafanuzi zaidi juu ya suala hilo utatolewa baada ya kujiridhisha zaidi na tukio hilo.
PIA SOMA
- Msanii Baby J na mwenzake Mauzinde watakiwa kukamatwa wakidaiwa kuandaa sherehe iliyokuwa na vitendo vya kuvunja maadili
- Zanzibar: Mwanaume afikishwa Mahakamani kwa kukata viuno hadharani
Sio mchicha mwiba ni punga kabisaakumbe nili mchicha mwiba
Daah kumbe anakitambi
Hussein Abdala maarufu Mauzinde (30), mkazi wa Rahaleo Mkoa wa Mjini Magharibi, Zanzibar alitekwa na watu wasiyojulikana, wakamshambulia kwa kumkata masikio yote mawili, wakamfunga bandeji na kisha kumtelekeza msituni
Tukio hilo lilitokea jana Jumapili Juni 2, 2024 usiku eneo la Kibele Wilaya ya Kati Mkoa wa Kusini Unguja.
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Kusini Unguja, Daniel Shila amethibitisha kutokea kwa tukio hilo na ufafanuzi zaidi juu ya suala hilo utatolewa baada ya kujiridhisha zaidi na tukio hilo.
PIA SOMA
- Msanii Baby J na mwenzake Mauzinde watakiwa kukamatwa wakidaiwa kuandaa sherehe iliyokuwa na vitendo vya kuvunja maadili
- Zanzibar: Mwanaume afikishwa Mahakamani kwa kukata viuno hadharani
Sijajua bado kwanini umeiingiza serikali hapo!pale serikali inapokuwa sehemu ya bulling ya baadhi y raia wake ndio mambo kama haya utokea..
serikali isake wahalifu hao na iwapeleke mahakamani na kuwafungulia mashtaka hakuna mtu mwenye haki kuzidi mwenzake ujinga ukiendekezwa kwenye jamii una madhara makubwa sana.!
Duh hadi akina Amdala?Naskia ni shoga moja matata apo zanzibar
Atachambaje tena jamani bila masikio kama nyoka?
Hussein Abdala maarufu Mauzinde (30), mkazi wa Rahaleo Mkoa wa Mjini Magharibi, Zanzibar alitekwa na watu wasiyojulikana, wakamshambulia kwa kumkata masikio yote mawili, wakamfunga bandeji na kisha kumtelekeza msituni
Tukio hilo lilitokea jana Jumapili Juni 2, 2024 usiku eneo la Kibele Wilaya ya Kati Mkoa wa Kusini Unguja.
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Kusini Unguja, Daniel Shila amethibitisha kutokea kwa tukio hilo na ufafanuzi zaidi juu ya suala hilo utatolewa baada ya kujiridhisha zaidi na tukio hilo.
PIA SOMA
- Msanii Baby J na mwenzake Mauzinde watakiwa kukamatwa wakidaiwa kuandaa sherehe iliyokuwa na vitendo vya kuvunja maadili
- Zanzibar: Mwanaume afikishwa Mahakamani kwa kukata viuno hadharani
Kosugi mwenyewe kafurahi na kuchekaaaa sijui jamaa alikuwa anamchukua mume wake?Anajitapa anachukua waume za watu... Sasa atasikiaje jaman tena duu