gammaparticles
JF-Expert Member
- Jan 9, 2024
- 1,407
- 3,855
Na nyinyi wagalatia mkamkamate huyu wa kwenu mumpige mtungo na kufyekelea mbali
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ni anamdomo mchafuuu ata malaya wa Sinza hawaingii ndani
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] amka wewee!! Utajikojoleaaa bureee!!
Ndo nan huyuNa nyinyi wagalatia mkamkamate huyu wa kwenu mumpige mtungo na kufyekelea mbali
View attachment 3011910
Sawa ndio huyo ila n nani huko daslamu
Atafutwe Burhani mwenyekiti uvccm kagera atujibu hili
Hussein Abdala maarufu Mauzinde (30), mkazi wa Rahaleo Mkoa wa Mjini Magharibi, Zanzibar alitekwa na watu wasiyojulikana, wakamshambulia kwa kumkata masikio yote mawili, wakamfunga bandeji na kisha kumtelekeza msituni
Tukio hilo lilitokea jana Jumapili Juni 2, 2024 usiku eneo la Kibele Wilaya ya Kati Mkoa wa Kusini Unguja.
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Kusini Unguja, Daniel Shila amethibitisha kutokea kwa tukio hilo na ufafanuzi zaidi juu ya suala hilo utatolewa baada ya kujiridhisha zaidi na tukio hilo.
PIA SOMA
- Msanii Baby J na mwenzake Mauzinde watakiwa kukamatwa wakidaiwa kuandaa sherehe iliyokuwa na vitendo vya kuvunja maadili
- Zanzibar: Mwanaume afikishwa Mahakamani kwa kukata viuno hadharani
- Nani kamfadhili Mauzinde kwenda Canada?