Uchaguzi 2020 Watu wastaarabu walifuata sera

Uchaguzi 2020 Watu wastaarabu walifuata sera

Umemaliza!
lisu na chadema nilikua nawakubali sana bt nilikuja kuwadharau kwenye sakata la madini ambapo daily walikua wanalipigia kelele, serikali ilipolikabili badala yakuiunga mkono kama walivokua wanalisemea mwanzo wakahamia upande wa pili nakuwatetea wazungu, hapa ndo nilipata picha ya upinzani tulio nao.
 
Huamini macho yako,Zoom uone bango nyuma ya wageni ndio utajua ni ya lini!
Nimesha zoom!
IMG_20200829_082601.jpg
IMG_20200829_082629.jpg
 
Back
Top Bottom