Constantine Chiwenga aliweza Zimbabwe, kwanini huyu ashindwe?Mkuu wa majeshi mwenyewe ana apointiwa na rais kwaiyo hawezi sema kitu kinyume na matakwa ya bossi wake,
Askofu atapuuzwa kwa sababu ya wajinga walio wengi watasema ana chuki za kidini
Kwa uchawa ulivyo Tz haishangazi kuona uyo mkuu mwenyewe wa majeshi ni mfuasi mtiifu wa ssh na ana kadi ya mbogambogaConstantine Chiwenga aliweza Zimbabwe, kwanini huyu ashindwe?
So hamuwezi kupambana bila ya waislamu 😂😂😊acha waislamu wafanye maisha yao , demokrasia hatuitambuiNaunga mkono hapo kwa askofu, maana kwa waislamu ni kama wame lala tu.
Comrade, kwenye hiyo namba 2 nilitaka kuweka tu kumbukumbu sawa. Mwadhama Kardinali Protas Rugambwa siyo Mkuu wa Kanisa Katoliki nchini. Kardinali ni kama Waziri/Paroko kule Vatican, huku Papa akiwa ni Rais/Askofu. (Yaani kwa ufupi Kardinali ni mshauri wa Papa kule Vatican, nsla siyo mkuu wa Kanisa Katoliki kwenye chi anayotoka)Kuna watu wawili ambao kesho wakienda kwenye TV au watoke na wasema maneno haya nchi hii tutakuwa na chaguzi huru na demokrasia. Watu hawa sio wanasiasa au wazee je wa hao ni nani na watasema nini
1. Mkuu wa majeshi atoke na aseme tena kwa upole sana. Aseme nchi yetu inapenda haki, nchi yetu na katiba yetu ni ya kidemokrasia jeshi la wananchi hakitakubaki chaguzi zisizo za huru na haki
2. Kadinali wa katoliki Protase Rugambwa. Huyu ni mkuu wa kanisa katoliki ambalo pamoja na waumini wengi ndilo kanisa lenye wekezaji mkubwa kuliko shirika lolote Tanzania la binafsi au la umma. Atoke aseme hivi
kanisa kitatoa tamko kwa wakatoliki wote na wapenda imani kwamba wasishiriki chaguzi zozote kabla ya sheria kurekebishwa na kanisa litasimamisha shughuli zote nchini ambazo ni pamoja na mashule, mojospitali na mambo yote ya kanisa mpaka pale chaguzi ziwe za huru na haki
Kati ya hawa wawili wakitoka na kusema hivyo kesho hii nchi itabadilika. Hivyo tushinikize hawa wawili kufanya hivyo kwa maslahi ya taifa kabla nchi hii haijawa ya familia tatu
Hao... Sidhani... Sijui...! Sina hakika...!!!!Kuna watu wawili ambao kesho wakienda kwenye TV au watoke na wasema maneno haya nchi hii tutakuwa na chaguzi huru na demokrasia. Watu hawa sio wanasiasa au wazee je wa hao ni nani na watasema nini
1. Mkuu wa majeshi atoke na aseme tena kwa upole sana. Aseme nchi yetu inapenda haki, nchi yetu na katiba yetu ni ya kidemokrasia jeshi la wananchi hakitakubaki chaguzi zisizo za huru na haki
2. Kadinali wa katoliki Protase Rugambwa. Huyu ni mkuu wa kanisa katoliki ambalo pamoja na waumini wengi ndilo kanisa lenye wekezaji mkubwa kuliko shirika lolote Tanzania la binafsi au la umma. Atoke aseme hivi
kanisa kitatoa tamko kwa wakatoliki wote na wapenda imani kwamba wasishiriki chaguzi zozote kabla ya sheria kurekebishwa na kanisa litasimamisha shughuli zote nchini ambazo ni pamoja na mashule, mojospitali na mambo yote ya kanisa mpaka pale chaguzi ziwe za huru na haki
Kati ya hawa wawili wakitoka na kusema hivyo kesho hii nchi itabadilika. Hivyo tushinikize hawa wawili kufanya hivyo kwa maslahi ya taifa kabla nchi hii haijawa ya familia tatu
Kafie mbele hukoSo hamuwezi kupambana bila ya waislamu 😂😂😊acha waislamu wafanye maisha yao , demokrasia hatuitambui
Kuna watu wawili ambao kesho wakienda kwenye TV au watoke na wasema maneno haya nchi hii tutakuwa na chaguzi huru na demokrasia. Watu hawa sio wanasiasa au wazee je wa hao ni nani na watasema nini
1. Mkuu wa majeshi atoke na aseme tena kwa upole sana. Aseme nchi yetu inapenda haki, nchi yetu na katiba yetu ni ya kidemokrasia jeshi la wananchi hakitakubaki chaguzi zisizo za huru na haki
2. Kadinali wa katoliki Protase Rugambwa. Huyu ni mkuu wa kanisa katoliki ambalo pamoja na waumini wengi ndilo kanisa lenye wekezaji mkubwa kuliko shirika lolote Tanzania la binafsi au la umma. Atoke aseme hivi
kanisa kitatoa tamko kwa wakatoliki wote na wapenda imani kwamba wasishiriki chaguzi zozote kabla ya sheria kurekebishwa na kanisa litasimamisha shughuli zote nchini ambazo ni pamoja na mashule, mojospitali na mambo yote ya kanisa mpaka pale chaguzi ziwe za huru na haki
Kati ya hawa wawili wakitoka na kusema hivyo kesho hii nchi itabadilika. Hivyo tushinikize hawa wawili kufanya hivyo kwa maslahi ya taifa kabla nchi hii haijawa ya familia tatu
Hamna hizo nguvu ...Waoga😂Kafie mbele huko
You ain't worth my time or effort, so fvck off.Hamna hizo nguvu ...Waoga😂
Huwezi kuletewa uchaguzi huru... unatakiwa udai na uhakikishe kuna uchaguzi huru... Wabongo tunapenda kufanyiwa kila kituKuna watu wawili ambao kesho wakienda kwenye TV au watoke na wasema maneno haya nchi hii tutakuwa na chaguzi huru na demokrasia. Watu hawa sio wanasiasa au wazee je wa hao ni nani na watasema nini
1. Mkuu wa majeshi atoke na aseme tena kwa upole sana. Aseme nchi yetu inapenda haki, nchi yetu na katiba yetu ni ya kidemokrasia jeshi la wananchi hakitakubaki chaguzi zisizo za huru na haki
2. Kadinali wa katoliki Protase Rugambwa. Huyu ni mkuu wa kanisa katoliki ambalo pamoja na waumini wengi ndilo kanisa lenye wekezaji mkubwa kuliko shirika lolote Tanzania la binafsi au la umma. Atoke aseme hivi
kanisa kitatoa tamko kwa wakatoliki wote na wapenda imani kwamba wasishiriki chaguzi zozote kabla ya sheria kurekebishwa na kanisa litasimamisha shughuli zote nchini ambazo ni pamoja na mashule, mojospitali na mambo yote ya kanisa mpaka pale chaguzi ziwe za huru na haki
Kati ya hawa wawili wakitoka na kusema hivyo kesho hii nchi itabadilika. Hivyo tushinikize hawa wawili kufanya hivyo kwa maslahi ya taifa kabla nchi hii haijawa ya familia tatu
Ulivyo na upungufu wa maarifa unadhani Kadinali ana mamlaka ya Kikanisa kwa Taifa zima la Tanzania kitu ambacho sio sahihi.Kuna watu wawili ambao kesho wakienda kwenye TV au watoke na wasema maneno haya nchi hii tutakuwa na chaguzi huru na demokrasia. Watu hawa sio wanasiasa au wazee je wa hao ni nani na watasema nini
1. Mkuu wa majeshi atoke na aseme tena kwa upole sana. Aseme nchi yetu inapenda haki, nchi yetu na katiba yetu ni ya kidemokrasia jeshi la wananchi hakitakubaki chaguzi zisizo za huru na haki
2. Kadinali wa katoliki Protase Rugambwa. Huyu ni mkuu wa kanisa katoliki ambalo pamoja na waumini wengi ndilo kanisa lenye wekezaji mkubwa kuliko shirika lolote Tanzania la binafsi au la umma. Atoke aseme hivi
kanisa kitatoa tamko kwa wakatoliki wote na wapenda imani kwamba wasishiriki chaguzi zozote kabla ya sheria kurekebishwa na kanisa litasimamisha shughuli zote nchini ambazo ni pamoja na mashule, mojospitali na mambo yote ya kanisa mpaka pale chaguzi ziwe za huru na haki
Kati ya hawa wawili wakitoka na kusema hivyo kesho hii nchi itabadilika. Hivyo tushinikize hawa wawili kufanya hivyo kwa maslahi ya taifa kabla nchi hii haijawa ya familia tatu
Mkuu wa majeshi mwenyewe ana apointiwa na rais kwaiyo hawezi sema kitu kinyume na matakwa ya bossi wake,
Askofu atapuuzwa kwa sababu ya wajinga walio wengi watasema ana chuki za kidini
Tafuta kazi za kufanya ,stress za maisha zinakuendesha😂😂You ain't worth my time or effort, so fvck off.
Mimi kazi?, sio niongeze portfolio ili ajira ziongezeke.Tafuta kazi za kufanya ,stress za maisha zinakuendesha😂😂