The Mongolian Savage
JF-Expert Member
- Jul 5, 2018
- 8,082
- 17,838
Wanajamvi habari za weekend
Maafisa wa karibu ya ikulu Haiti
Wako kizuizini wakihojiwa.
Ni Jean Liguel Civil. Huyu alikuwa mkuu wa Rais Jovenel Moise security Coordinator. Anabinywa sasa hivi sehemu salama.
Mwengine ni Dimitri Hérard, head of the General Security Unit of the National Palace naye anaminywa na kuhojiwa sehemu salama.
Pia mwanamama Magalie Habitant ambaye ni mwanasiasa maarufu na mwanachama wa chama pinzani cha PHTK political party ambaye Chama chake na Chama rais Moise aliyeuwawa waliungana na kuwa marafiki naye anaminywa na kuhojiwa sehemu salama kwasababu mamluki wauaji waliishi kwake kabla ya tukio.
Aidha wale raia wawili wa Marekani wenye asili ya Haiti.
James Solages 35 na Joseph Vincent waliokamatwa wanajitetea wenyewe walikuwa watafsiri tu na walijulishwa na mamluki wa Colombia ya kuwa walikuwa wanaenda kumkamata rais Moise akiwa hai siyo kumuua.
Pia mke wa mmoja wa mamluki wa Colombia anadai mume wake alipata kazi na kampuni ya ulinzi Colombia na kusafiri mwezi mmoja uliopita kwenda Dominican republic nchi iliyopakana na Haiti na inashare kisiwa kimoja kilichogawanyika hizo nchi mbili. Cha kushangaza amekuja kugundua mume wake alihusika kwenye mauaji ya ya Rais wa Haiti wakati muda wote alijua yuko Dominica Republic akifanya kazi ya ulinzi akilipwa dollars 2700 kwa mwezi .
Mamluki hawa walivamia na kufanikiwa kuingia makazi ya Rais na kummiminia rais J Moise risasi 12 na kumng'oa jicho lake la kulia.
Marehemu Rais Jovenel Moise alikuwa mfanya biashara mashuhuri wa magari na spare.
Kamuacha mjane Martine naye alijeruhiwa kwenye tukio na anapigania maisha yake hospitalini Florida Marekani.
Martine first Lady ana miaka 47
Wamebarikiwa na watoto watatu binti mmoja na vijana wawili
Mungu ailaze mahali pema peponi roho ya Rais Jovenel Moise na namtakia kheri mkewe apone haraka sana.
Senior JF local and international political analyst and correspondent.
Source: The sun na Dailymail online