M Magazine Fire JF-Expert Member Joined Dec 28, 2011 Posts 1,365 Reaction score 1,473 Jul 13, 2021 #22 Hatari sana.
M Magazine Fire JF-Expert Member Joined Dec 28, 2011 Posts 1,365 Reaction score 1,473 Jul 13, 2021 #23 Hiyo ilikuwa inside job hakuna kingine.
Muuza viatu JF-Expert Member Joined May 14, 2020 Posts 3,840 Reaction score 7,920 Jul 13, 2021 #24 Ktk kundi LA wapambanaj ishirini na nyingi ni watu nane tu ndio waliokua wanaujua mchezo mzima wengine wote waliambiwa wanaenda kumkamata jamaa akiwa hai bila mkwaruzo na hao nane mpaka sasa hakuna aliyekamatwa na hawajulikani walipo
Ktk kundi LA wapambanaj ishirini na nyingi ni watu nane tu ndio waliokua wanaujua mchezo mzima wengine wote waliambiwa wanaenda kumkamata jamaa akiwa hai bila mkwaruzo na hao nane mpaka sasa hakuna aliyekamatwa na hawajulikani walipo