Muweke mtoe kwa hio ni km new God's in the world si ndio?Hizi nyakati ndio nimeelewa maana halisi ya Israel mtoa roho, kama Benja analist na ndiye mtoa roho, Trump akiwa kama mtoa go ahead si ndio anakuwa mungu wa huo ufalme sasa..
Kabisa mkuu, akisema muweke, umeisha.Muweke mtoe kwa hio ni km new God's in the world si ndio?
We unazan duniani huko watu hawajaisoma Quran! Wanaiua vizur tena mapadri wakiroma wanainua nje ndani kwaio hakuna kipya watakijua kuhusu huo uislam miaka 100 mbele .... Israel lazima ajilinde sana mana hao mashia Iran kila siku wanalala ndoto yao nikuifuta israel kwenye uso waduniaHakuna nchi ya kikristo kwa imani yake inaweza kufanya alichofanya iran....
Wengine ( us,eu ) wanafanya kwa ajili ya maslahi tu...( Materials)....
Nawaza dunia ya miaka 100...kizazi cha ulaya na Marekani kitakapong'amua ukweli kuhusu uislamu ....!!!
vurugu yote ya myahudi ni hofu ya existance yake ambapo msingi wake ni materials kuliko ideology....
Kuna kizazi ( free minded) chenye nguvu na kitakachoshika madaraka...hawa TRUMP wanapita tu..
Mbona mnatuchanganya!! Echolima1 alisema Ghalibaf kauwawa alipoteuliwa tu. Kumbe yupo hai?Hawa watu wawili pichani, uhai wao ulihifadhiwa na Trump kwa ajili ya mazungumzo. Hawa ndio future ya Iran mpya. Trump alimkataza Netanyahu asiwaue.
Huna unalojua wewe. Huyo Arragarchi ni mwana diplomasia tokea vita inaanza alikua busy UN, EU, GCC etc kutafuta amani kupitia meza wala haikua suprise kuwepo kwenye mazungumzo.Hivyo Araghchi na Ghalibaf ndio watu wenye heshima ambao Trump aliwasema na alisema ndio wakaoshiriki katika mazungumzo. Watu walipinga na kudai Trump ni mropokaji sasa imedhihirika kwamba kweli Trump ni mropokaji lakini haropoki uongo.
Huu ni uongo mkubwa, walipokua Islamabad walishawekwa target kuuwawa na hao hao Mossad ni dakika za mwisho tu wakabadili mueleko wa safari na kuwapoteza majasusi. Walishuka na ndege huko marandi Iran na kupanda treni hadi Tehran maana intelijensia iliwaambia ndege inaenda kutunguliwa ikiwa inaelekea Tehran.Kulikuwa na mmoja aliyekuja kuuawa β mtu ambaye Trump hakutaka auawe. Tukio hilo lilimkasirisha sana Trump, ndipo akatoa onyo kali kuhusu watu hawa. Hatimaye, Netanyahu akawalinda kwa kuwaondoa kwenye list ya target. Ndio maana leo hawana mashaka makubwa kuhusu usalama wao.
You're a product of this bible verse below ππHakuna nchi ya kikristo kwa imani yake inaweza kufanya alichofanya iran....
Wengine ( us,eu ) wanafanya kwa ajili ya maslahi tu...( Materials)....
Nawaza dunia ya miaka 100...kizazi cha ulaya na Marekani kitakapong'amua ukweli kuhusu uislamu ....!!!
vurugu yote ya myahudi ni hofu ya existance yake ambapo msingi wake ni materials kuliko ideology....
Kuna kizazi ( free minded) chenye nguvu na kitakachoshika madaraka...hawa TRUMP wanapita tu..