Watu wazima wanaojitapa kuzaliwa Dar ni mojawapo ya watu wa ovyo sana

Inferiority complex kwenye kilele chake..!!
 
Cc HAJI MANARA.
 
Poleee
 
Basi kuna Watanzania wana ndoto ndogo sana.
Hao wapo wengi sana.
Nakuambia hivi asilimia 95 ya jamaa ambao nilimaliza nao udsm enzi hizo ambao walitokea mikoani ,yaani wakati wanakuja kuanza chuo walitokea mikoani na pia walikuwa hawajazilwa dsm .Hawakurudi mikoani kwao baada ya kumaliza chuo .
Kuna baadhi yao zaidi ya 5 waliomba niwahifadhi kwenye mjengo alioniachia msure wangu kwani yeye alihamishia mmishe zake mkoani dodoma.
Sasa hivi wapo vizuri tunaheshimiana sana na kuna wengine wamenipita kipato.
Mimi baada ya kumaliza chuo nilikaa dsm kama mwaka baada ya hapo nikaamia kanda ya ziwa ambapo nilikaa zaidi ya miaka kumi nikaja kurudi dsm mazima mwaka 2017
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…