SweetyCandy
JF-Expert Member
- Sep 17, 2022
- 5,474
- 10,518
Ni kweli asilimua kubwa wanakuwaga washamba sana sasa msisemwe unakuja dar umetoka mkoani na malboro unashangaa ubungo zamani ile kwa sasa stendi ya magu upo tu halafu unaibiwa kila kitu halafu unakuwa omba omba hadi upate pesa ya kujikimu ndio umtafute uliyemjia hapo umepaukaPole ya nini wakati ni wajinga?Vingwendu.
