Moisemusajiografii
JF-Expert Member
- Nov 3, 2013
- 55,705
- 104,843
Si kweli.Na California watasemaje?Hata huko USA kuna watu wanatamani wangezaliwa New York
Si kweli.Na California watasemaje?Hata huko USA kuna watu wanatamani wangezaliwa New York
Umeona Sasa! Yaani ukweli ni kuwa zama zile Dar ilikuwa Dar Kwa wengine.Uoga wenu tu.Hadi mkaanza kuita maghorofa "mabugando"?
California ni kwa kina lucas mwamshambaSi kweli.Na California watasemaje?
Huwa nikimuona mtu mzima anajisifia kuzaliwa Dar na kuwaita wengine washamba wa kuja namuona kama mtu mwenye akili fyatu, kubwa jingwa fulani hivi.
Kipi hasa cha mtu kujivunia na kutambia wengine kuzaliwa Dar? Mtu mwenyewe anayejitapa unakuta ni chawa wa watu kutoka nje ya Dar au hana hata kibanda hiyo Dar yenyewe.
Halafu ni wapuuzi gani walioanzisha utaratibu wa kuita maeneo yote ya nje ya Dar "mkoani"?!
Jamaa wananuka shombo la dagaa na changudoa halafu wanajidai.Jifanye unatokea Zanzibar kwa Boat au unatua na ndege tokea Zurich ndo utajua hakuna kitu hapo, hicho ni Kijiji kilichochangamka. Na Hawa mboga mboga party nao ni tatizo wanaongoza mazombi na wao wanafikiri wajanja liangalie li Makala liuso utafikiri zimwi.Hatuba watu.
Luca anavuna Kakao na maparachichi muda huu kabla hajaja kutuletea Uzi wa mama.California ni kwa kina lucas mwamshamba
Dar ni mkusanyiko wa vijiji vingi vilivyoungana pamoja kienyeji bila ya kupangiliwa!hicho ni Kijiji kilichochangamka.
Huu ni wivu kwa mtu aliyezaliwa Dar na si kingine. We kubali tu kwamba umezaliwa Maposeni basi..!!Jifanye unatokea Zanzibar kwa Boat au unatua na ndege tokea Zurich ndo utajua hakuna kitu hapo, hicho ni Kijiji kilichochangamka. Na Hawa mboga mboga party nao ni tatizo wanaongoza mazombi na wao wanafikiri wajanja liangalie li Makala liuso utafikiri zimwi Hatuna watu.
Kaka, kwani na wewe unawaonea wivu waliozaliwa Dar..!!??Dar ni mkusanyiko wa vijiji vingi vilivyoungana pamoja kienyeji bila ya kupangiliwa!
We ikuze Kiziramuyaga kama itakubali..!!mnaikuza dar san
Na angekuwa mama yake mzazi nahisi angefungua forum yake inaitwa MamaLucas forumLuca anavuna Kakao na maparachichi muda huu kabla hajaja kutuletea Uzi wa mama.
Naambiwa ulipata hasara baada ya kutumia vile vigari vidogo DCM kusafirisha nyanya zako kwenda Daslam kikafia Kitonga.Umeona Sasa! Yaani ukweli ni kuwa zama zile Dar ilikuwa Dar Kwa wengine.
Nakumbuka mtu mmoja alipopanda "Panton" kwa mara ya kwanza pale kivukoni alipiga yowe kubwa hatari.
Zamani wa mikoani wakija Dar walikuwa na ushamba usiojificha!
Ukizungumza haya ukiwa Kyela, si wa kuja, ila kama unayasema haya huku upo Dar, yaani ni wa kuja, tena na Rungwe express.Mpaka sisi wa kyela ni wakuja.?
Ukienda nyuma ya barabara kubwa ukikatiza mitaani huko unajua kabisa ccm ni magaidi ndo maana standard ni muhimu.Huwezi tawala watu wamechoka namna hii alafu ujisifu,ukienda hata Vancouver huko kila back street zote ziko standard,Hawa akina Samia ni majanga plus,tulishopotea toka independence day.Dar ni mkusanyiko wa vijiji vingi vilivyoungana pamoja kienyeji bila ya kupangiliwa!
Luca ni mjinga sana.Tusiite watoto majina ya kijinga.Na angekuwa mama yake mzazi nahisi angefungua forum yake inaitwa MamaLucas forum
Kuna mmoja, ile anashuka Pantoni tu feri, akachukua kopo lake akachota maji ya bahari ili arudi nayo kwao..!!Umeona Sasa! Yaani ukweli ni kuwa zama zile Dar ilikuwa Dar Kwa wengine.
Nakumbuka mtu mmoja alipopanda "Panton" kwa mara ya kwanza pale kivukoni alipiga yowe kubwa hatari.
Zamani wa mikoani wakija Dar walikuwa na ushamba usiojificha!
Nipo uganda vijijini nafanya kilimo cha mboga mbaoga sina any ndugu.Ila napambana usiku na mchana ndoto zangu nikuja kukanyaga dar maana toka nizaliwe napasikia tu kwenye bombaSahihi muheshimiwa.Hebu nitumie elfu saba kwenye radio call yangu.
😁😄Ukizungumza haya ukiwa Kyela, si wa kuja, ila kama unayasema haya huku upo Dar, yaani ni wa kuja, tena na Rungwe express.