Allen Kilewella
JF-Expert Member
- Sep 30, 2011
- 25,982
- 51,157
Hao walikuwa wengi sana.Kuna mmoja, ile anashuka Pantoni tu feri, akachukua kopo lake akachota maji ya bahari ili arudi nayo kwao..!!
Zama wengine tunakua, ilikuwa watu wa mikoani wakija Dar lazima warudi mikoani wabebe tiketi ya UDA kwenda kwao kuonesha kuwa walipanda mabasi yaliyoungana (Ikarus).
Sasa kwa nini mtu akizaliwa Dar asione ufahari! Wewe umetoka zako mikoani na makegete yako unataka kuleta ujuaji Kwa watu wa Dar?
😃😀😅😅😆