Watu wazima wanaojitapa kuzaliwa Dar ni mojawapo ya watu wa ovyo sana

Watu wazima wanaojitapa kuzaliwa Dar ni mojawapo ya watu wa ovyo sana

Wakenya waliozaliwa Nairobi huwa hawana huo muda mchafu na tambo za hovyo za Kiswahili.
Sisi watanzania tuna ubaguzi sana kuanzia wa kikabila, kidini hadi wa kikanda japokuwa ubaguzi wetu hatuuoneshi wazi wazi.

Halafu wazungu wakitubagua tunapiga kelele lakini bado sisi tunabaguana.
 
Mtoto wa Rock City.

Rock city ni kama Dar tu sema watu wa Rock City hawako proud na mji wao.

I love Rock City.

Rock City is just another Dar Es Salaam.
MWANZA KIJIJI KILICHO CHANGAMKA KAMJI UKIFIKA USIKU UKIONA MILIMA INAWAKA TAA USIKU UTASEMA TORONTO SUBIRI KUKUCHE UNAWEZA KUSEMA MABANDA YA NJIWA YA MISRI
 
Vijiweni story zao ni Harmonize na Diamond, wakibadili Simba na Yanga, Vijana wa Dsm wana kaushamba (sio wote) flani ambako wao kwao huona ni ujanja, ikiwemo na kuongea lafudhi yao pendwa wenyewe wanaita kidar es salaam..

Ujanja si lafudhi ya mtu au anapotokea, ndio maana hii nchi wazee wa Dsm wazee wa mjini walizidiwa akili na kijana mmoja kutoka Butiama, wamebaki wakilia hadi leo kwamba yule kijana wa Butiama aliwazunguka kwenye harakati za uhuru..😀

Kingine juzi tu hapa tulikuwa tunaongozwa na rais msukuma na lafudhi yake ya kisukuma na alitisha sana..
Mnavyowapokeaga akina Mondi huko "Ikizu" inatosha kuonyesha ubabe wa Dar.
 
Sisi wa Iringa "Comfort Video Coach" kwenye zile "cabin" za ndani kunakuwa kumejaa mikate...😆😅😀😃😃😄

Halafu mtu anataka aliyezaliwa Ocean Road Dar awe sawa na aliyezaliwa Mpitimbi😄😃😀
Hivi, kwani imekuwaje utaje Mpitimbi..!!??? Kwanini usitaje Kiponzero na basi lao la WASA au Mibiki mitali?
 
Halafu mkiwa mnabishana nao ukiwaliza basi sawa mmezaliwa dar,mna nin cha kunizidi mimi niliyezaliwa huko nguriati,utasikia wanajibu..ooh we dogo una dharau sana.
 
MWANZA KIJIJI KILICHO CHANGAMKA KAMJI UKIFIKA USIKU UKIONA MILIMA INAWAKA TAA USIKU UTASEMA TORONTO SUBIRI KUKUCHE UNAWEZA KUSEMA MABANDA YA NJIWA YA MISRI
Huu ni ukweli mtupu, Dar ni nzuri zaidi usiku, mchana inageuka kuwa mabanda ya kuku sehemu kubwa ya mji.
 
we dogo jau sana Nairobi wapi, me nimezaliwa karen huko Nairobi nikakulia huko mpk six years tukahamia hapo naivasha,

Akhii time nimekuja Tz, sikukuwa naelewa.... Juu kule tumezoeanga kula kidheri na mkimo,

Waah kitu niliwapendea wa Tz ni wako na warembo romantic aaii, sijawah ona Nairobi nzima,

Sema saa hii nishazoea dar nakula mpka utumbo na firigisi, mpk nimesahau kurudi kwetu huko kajiado
Gai gai gaiiii...!!
 
Huu ni ukweli mtupu, Dar ni nzuri zaidi usiku, mchana inageuka kuwa mabanda ya kuku sehemu kubwa ya mji.
kuna mada hapa yani dar ijulikani wapi ni sehemu za starehe,wapi sehemu za makazi,wapi sehemu za serikali yani BAKWATA Hipo karibu na maeneo ya madanguro
 
Back
Top Bottom