Harmful
JF-Expert Member
- Feb 23, 2025
- 5,985
- 21,212
Ndio utalii wenyewe huo😂Wengi wanaishi kwenye nyumba za urithi....midomo michafuuu,kazi kusimuliana ma dj wahengq
Ndio utalii wenyewe huo😂Wengi wanaishi kwenye nyumba za urithi....midomo michafuuu,kazi kusimuliana ma dj wahengq
Huwa nikimuona mtu mzima anajisifia kuzaliwa Dar na kuwaita wengine washamba wa kuja namuona kama mtu mwenye akili fyatu, kubwa jingwa fulani hivi.
Kipi hasa cha mtu kujivunia na kutambia wengine kuzaliwa Dar? Mtu mwenyewe anayejitapa unakuta ni chawa wa watu kutoka nje ya Dar au hana hata kibanda hiyo Dar yenyewe.
Halafu ni wapuuzi gani walioanzisha utaratibu wa kuita maeneo yote ya nje ya Dar "mkoani"?!
dada Carleen nimekuonaHapana Ndugu yangu, yaishe
Utalii wa ndaniNdio utalii wenyewe huo😂
Aaamen Mtumishi, upo kweli?Nakusabahi kwa jina la Bwana Mtumishi..!!
Nipo Arusha nakula baridi la kushato ndugu yangu..!!Aaamen Mtumishi, upo kweli?
dah hahahaha haya MtumishiNipo Arusha nakula baridi la kushato ndugu yangu..!!