Watu wazima wanaojitapa kuzaliwa Dar ni mojawapo ya watu wa ovyo sana

Watu wazima wanaojitapa kuzaliwa Dar ni mojawapo ya watu wa ovyo sana

Angalia mjinga huyu, kwa hiyo wizi ndo ujanja?
Kwenye nchi za Kistaarabu hizo zinaitwa Antisocial Behaviour ambazo ni makosa kisheria.

Na watu wengi wa dar wanaojiita wanjanja ni kwa sababu siyo wastaarabu na tabia chafu ndo ujanja kwao.
Poleni sana, kwa sababu dunia haipo huko kwa sasa
Mjinga ni wewe huna akili wala hujitambui mshamba tu
 
Mjinga ni wewe huna akili wala hunitambui mshamba tu
Bora mimi nisiye na akili kuliko wewe mpumbavu unayeona tabia chafu za wizi na uhuni eti ndo ujanja na unajisifia kwa huo upuuzi. Huo upambavu ndo umekuwa unajisifia kwa kuzaliwa dar wakati dar yenyewe unaishi kivule.
Pumbavu kabisa wewe
 
Again umezidi kuthibitisha ujinga na uduni wa kifikra mliona nyie matoto ya dar.

Muziki wa singeli mara nyingi unakuwaga na maudhui ya kipumbavu sana, sasa kama na wewe eti enjoy maudhui hayo ya kipumbavu so ni obvious umjeza upumbavu mwingi sana kichwani mwako.

Na siku zote watoto hufuata kile ambacho wewe mzazi unakifanya, kama ni mpenda singeli ni obvious hata mwanao atakuwa ni mpenda singeli kama wewe na hapo ndipo atakapomfanya huyo muimba singeli kuwa role model wake, umeelewa sasa bogasi wewe?

Kuendelea kujivunia kuzaliwa dar halafu hapo hapo kuna wakuja kibao tu wanakuzidi maendeleo tena mbali mno hiyo ni level ya juu kabisa ya uwendowazimu, wajinga sana nyie mnajiita watoto wa mjini na wakati huo karibu majengo yote ya maana yanamilikiwa na wakuja nyie mmebaki kukariri majina ya hayo magorofa tu, na wewe mwenyewe siku ukiondoka nyumbani kwenu huko Mburahati na kuamua kwenda kupanga kigamboni, nyumba unayofikia most likely itakuwa inamililkiwa na wakuja, Halafu bado una guts za kusema eti "mimi nimezaliwa dar uniambii kitu"? wapuuzi nyie.

Mimi sio chawa wa Abuu yeye ni mwanangu tu ambaye tulikutana nae boarding school, na moja ya fantasy alizokuwa nazo ilikuwa ni kulala na hao akina Iren Uwoya na alipoanza kushika hela tu hakutaka kulaza damu, japo anatumia pesa nyingi sana. Lakin, ni zake na pia hii haina uhusiano na kukamilika au kutokamilika kwa mwanaume.

Kumbuka hata nyie wazaliwa wa dar huwa mna sexual fantasies zenu na ndio maana tunaona mnakoboana sana nyie wanawake wakati huo kaka zenu wana geuzana sana na mnaona fashion.

Kwa ufupi tu nyie wazaliwa wa Dar wengi ni wajinga na hilo halipingiki.
Kumbe all this time unahisi mimi wa Mburahati?? Mimi nimezaliwa Oysterbay kwenye nyumba ya Serikali, then tukahamia Mbezi Beach kwenye nyumba ya wazazi wangu, then tukahamia Bunju…

Turudi kwenye povu lako(hlf acha matusi bwana, haipendezi)

1. Kama unachosikia kwenye muziki kina-influence maisha yako basi una safari ndefu sana ndugu wa mkoani.

2. Kuniita bogasi hapa JF hakubadili reality. Save yourself the hustle ndugu wa mkoani.

3. Sasa, wakuja kama mna maendeleo saaana why suala la mtu wa Dar kuwa proud likupeleke puta sana?? Why yaani🤣🤣🤣. Kweli mtu na maendeleo yako why upelekeshwe na wasio na lolote wakijitapa?

4. Mimi sio wa Mburahati bro🤣🤣, sasa hivi naishi somewhere bahari naiona ileeee. Halafu hizo statistics kuwa mnamiliki majengo yote mmezitoa wapi ndugu wa mkoani??

5. Tafuta statistics mkoa gani unaongoza kwa Ushoga Tanzania. Nakuhakikishia sio Dar es Salaam. Hivyo hiyo meza unayotingisha ina wakuja wenzio juu utawaangusha.
 
Kumbe all this time unahisi mimi wa Mburahati?? Mimi nimezaliwa Oysterbay kwenye nyumba ya Serikali, then tukahamia Mbezi Beach kwenye nyumba ya wazazi wangu, then tukahamia Bunju…

Turudi kwenye povu lako(hlf acha matusi bwana, haipendezi)

1. Kama unachosikia kwenye muziki kina-influence maisha yako basi una safari ndefu sana ndugu wa mkoani.

2. Kuniita bogasi hapa JF hakubadili reality. Save yourself the hustle ndugu wa mkoani.

3. Sasa, wakuja kama mna maendeleo saaana why suala la mtu wa Dar kuwa proud likupeleke puta sana?? Why yaani🤣🤣🤣. Kweli mtu na maendeleo yako why upelekeshwe na wasio na lolote wakijitapa?

4. Mimi sio wa Mburahati bro🤣🤣, nimezaliwa Oysterbay nyumba ya Serikali - sasa hivi naishi somewhere bahari naiona ileeee. Halafu hizo statistics kuwa mnamiliki majengo yote mmezitoa wapi ndugu wa mkoani??

5. Tafuta statistics mkoa gani unaongoza kwa Ushoga Tanzania. Nakuhakikishia sio Dar es Salaam. Hivyo hiyo meza unayotingisha ina wakuja wenzio juu utawaangusha.
Wazaliwa dar mnamiliki nini hapo zaidi ya kukariri majina ya majengo yanayomilikiwa na wageni wajinga nyie?

Nyie labda muwe mnamiliki madanguro ya makahaba ya huko sinza na temeke sudani.

Unasema eti umezaliwa oysterbay inawezekana ni kweli, lakini ni wangapi mmezaliwa hayo maeneo? Wengi tunajua maeneo yenu mliozaliwa ni Mburahati,Mtoni kwa Azizi ally,Tandika,Tandale,Vingunguti,Gongo la mboto,mbagala rangi tatu na maeneo mengine ya uswekeni huko mliozaliwa masaki,O-bay,Mbweni,Kino ni fraction ndogo sana na kwanza wengi waliozaliwa haya maeneo hawana mbwembwe wala tambo za kipuuzi kama hizi mnazoonyesha hapa eti mimi mtoto wa mjini... wapumbavu kweli nyie hiyo siwezi nikapindisha maana ndivyo jinsi ninavyowaona.

Na pia usipindishe ukweli kuhusu ushoga, kaka zenu hapo ndio wanaoongozwa kwa kupakatwa tanzania hii maana kila tamaduni ya kipuuzi ya maghari nyie ndio huwa mnakuwa wa kwanza kuicopy.
 
Sio tu kuzaliwa Dar ila pia zingatia "Aga Khan" jiulize tu gharama za kuzalia pale VIP ni bei gani😁
 
Mimi sijazaliwa Dar
Ila aliyezaliwa Dar kuna namna ana ujanja tofauti,yaani ni Elimu tosha kuzaliwa Dar,kuhusu kujenga hizo ni akili binafsi
Kujenga ni vipaumbele vya mtu😁, kuna raia wamezaliwa Dar wanaishi kwenye Apartments Kariakoo, Upanga na Posta ila hawana kipaumbele cha kujenga japo wanatengeneza hela ambazo wakitaka kujenga ni mwezi mmoja tu nyumba nzuri kuzidi ya kwako uliojenga kwa miaka 5 inakuwa katika hatua za finishing na mwishoni mwa mwezi wa pili toka ujenzi uanze anaweza kuhamia.
 
Achana nao 🤣
Ila kuzaliwa Dar enzi askari anavaa kaptura unadhani mchezo😅😅 enzi ya mabucha ya ngurue, mtu anazaliwa Dar enzi ya nyerere disco DDC VIJANA JAZZ WE huogopi??
Sema watu wa mikoani wanakuaga wanaonaga kama kuna faida flani ukizaliwa Dar unaipata ilihali sisi tunaonaga kawaida tu tena usipofanikiwa ndo kbsa unatamani ungezaliwa Malinyi ulime yaishe!
 
Ni kweli asilimua kubwa wanakuwaga washamba sana sasa msisemwe unakuja dar umetoka mkoani na malboro unashangaa ubungo zamani ile kwa sasa stendi ya magu upo tu halafu unaibiwa kila kitu halafu unakuwa omba omba hadi upate pesa ya kujikimu ndio umtafute uliyemjia hapo umepauka
Na wewe acha uongo si ulisema umezaliwa chuga?leo unawasagia kunguni wa mkoa wenzio🤣🤣
 
Kujenga ni vipaumbele vya mtu😁, kuna raia wamezaliwa Dar wanaishi kwenye Apartments Kariakoo, Upanga na Posta ila hawana kipaumbele cha kujenga japo wanatengeneza hela ambazo wakitaka kujenga ni mwezi mmoja tu nyumba nzuri kuzidi ya kwako uliojenga kwa miaka 5 inakuwa katika hatua za finishing na mwishoni mwa mwezi wa pili toka ujenzi uanze anaweza kuhamia.
Umenikumbusha mshkaji wangu mmoja kajenga nyumba kali sana goba ila anakaa zae sea view kasema hawezi ishi huko ni mbwinde😂
 
Umenikumbusha mshkaji wangu mmoja kajenga nyumba kali sana goba ila anakaa zae sea view kasema hawezi ishi huko ni mbwinde😂
Eeh hio ndio Dar es Salaam. Watu wana mipango ya masaa ya mbele sema ukiwa na akili butu unaweza kuona kila mtu anateseka mjini😁.

Yani mifumo ya maisha ni mingi sana hapa mjini. Wa mikoani hawaelewi kila kitu ndio maana wanaona giza tu.
 
Hawajui code za mjini kila wakijaribu wanakula za uso then wanakimbia mji.😅
 
Back
Top Bottom