Yoda
JF-Expert Member
- Jul 22, 2018
- 64,960
- 111,265
- Thread starter
- #221
Hapa Jukwaani kuna mtu alisema hadi ngozi ya ng'ombe inachemshiwa supu Dar, inaitwa supu ya mapupu. Nilishangaa sana.Dar is dream city is like USA binafsi unabidi kufika DSM .
Jambo ninalolipenda DSM ni ule mnyonyororo wa thamani .
Mfano Kuku akichinjwa
-watauza nyama peke yake
-watauza miguu peke yake
-watauza utumbo peke yake
-watauza kichwa peke yake.
Ukitengeneza mnyororo wa thamani unakuwa umeongeza fursa za Kazi na kipato.
So DMS ni dream city.