Ngalikihinja
JF-Expert Member
- Sep 1, 2009
- 34,637
- 38,029
Sasa huko sokomatola ni mabanda ya kuku usiku na mchana..!!Huu ni ukweli mtupu, Dar ni nzuri zaidi usiku, mchana inageuka kuwa mabanda ya kuku sehemu kubwa ya mji.
Sasa huko sokomatola ni mabanda ya kuku usiku na mchana..!!Huu ni ukweli mtupu, Dar ni nzuri zaidi usiku, mchana inageuka kuwa mabanda ya kuku sehemu kubwa ya mji.
We nakwede97 mbona povu hivi? Kama vipi hama huko Kwimba uje Dar upunguze hasira..!! Maana si kwa povu hili aisee..!!! Yaani umeongea kama vile wote wa huko Namabengo au Runzewe mna apatimentiiii..!!! 😀 😀 😀 😀 😀Unazaliwa dar halafu unaenda kupanga nyumba ya mkinga aliyetoka makete ! Upuuz wa fikra
Sema nimezaliwa dar Nina appatment zangu pale ukonga au mikochen Nina frem zangu Tano pale ubungo na kibanda changu kipo mbezi goba
Kutwa mnazurura jua linawapiga mnakunywa maji ya miamia mpo hoi taaban mungu saidia na mliocoment sijui wangap wanatembelea makalio au ndo kunusana majasho kwenye mwendo Kasi et dar my foot
Mngehamia Msumbiji wallah, au afghanistan kabisa..!! 😀 😀 😀Mnaboa, mngekuwa mmezaliwa New York, Los Angeles, London au Paris si mgetuamisha nchi kabisa nyie
Umepaniki blazaaa..!!! Vijimambo tu hivi.Tufanye ni wa kike, unisex au transgender, hapo vipi wewe mla miguu ya kuku wa buza??
Kuzaliwa dar ni elimu tosha na kwamba umeanza kupata ustaarabu zamani sana kwahiyo punguza makasirikoHuwa nikimuona mtu mzima anajisifia kuzaliwa Dar na kuwaita wengine washamba wa kuja namuona kama mtu mwenye akili fyatu, kubwa jingwa fulani hivi.
Kipi hasa cha mtu kujivunia na kutambia wengine kuzaliwa Dar? Mtu mwenyewe anayejitapa unakuta ni chawa wa watu kutoka nje ya Dar au hana hata kibanda hiyo Dar yenyewe.
Halafu ni wapuuzi gani walioanzisha utaratibu wa kuita maeneo yote ya nje ya Dar "mkoani"?!
Cha ajabu, mtu anatamba, eti mwingine anaumia..!! Waliozaliwa Rungemba au Lupapira ndo wanaumia sanaWell, kama mtu anaona kuzaliwa dar ni jambo la maana sana katika maisha yake mwache atambe.
La kukumbuka tu ni kwamba hakuna yoyote aliyekuwa na choice ya mahali au muda aliozaliwa.
Maana kuna wengine wanatambia hata miaka ya kuzaliwa achlilia mbali sehemu walizozaliwa.
Hatuna Sasa nyie mda wote dar mtadhan mmejenga magorofa kumbe wadandia daladala 🙄 Bora na sisi wa huku hatuna mbwembweWe nakwede97 mbona povu hivi? Kama vipi hama huko Kwimba uje Dar upunguze hasira..!! Maana si kwa povu hili aisee..!!! Yaani umeongea kama vile wote wa huko Namabengo au Runzewe mna apatimentiiii..!!! 😀 😀 😀 😀 😀
Kwahiyo akitamba aliyezaliwa Dar huku amejenga gorofa ni sawa??? Sasa fikiria mtu huna gorofa na umezaliwa Iselamagazi..!!Hatuna Sasa nyie mda wote dar mtadhan mmejenga magorofa kumbe wadandia daladala 🙄 Bora na sisi wa huku hatuna mbwembwe
Na Hana mbwembwe nyie endeleen na majivuno sie haooooooKwahiyo akitamba aliyezaliwa Dar huku amejenga gorofa ni sawa??? Sasa fikiria mtu huna gorofa na umezaliwa Iselamagazi..!!
Kwamba haooo mnaenda wapi???Na Hana mbwembwe nyie endeleen na majivuno sie haoooooo
Morocco kama Simba 😄Kwamba haooo mnaenda wapi???
Mngebaki huko huko BukeneMorocco kama Simba 😄
Ukiwa Katavi Dar ni mkoani pia,Mikoani nje ni nje ya mkoa uliopoHuwa nikimuona mtu mzima anajisifia kuzaliwa Dar na kuwaita wengine washamba wa kuja namuona kama mtu mwenye akili fyatu, kubwa jingwa fulani hivi.
Kipi hasa cha mtu kujivunia na kutambia wengine kuzaliwa Dar? Mtu mwenyewe anayejitapa unakuta ni chawa wa watu kutoka nje ya Dar au hana hata kibanda hiyo Dar yenyewe.
Halafu ni wapuuzi gani walioanzisha utaratibu wa kuita maeneo yote ya nje ya Dar "mkoani"?!
Cha kushangaza vijana kutoka mikoani ndio wanakuwa maraisi wa nchi hii. Kariakoo imetawaliwa na vijana wa mikoani nyie wazaramo kazi kucheza Ngoma na umbeaDar ndio kila kitu hata ukiandika kwenye CV kuwa umezaliwa Dar ni added advantage compared to mtu aliezaliwa Ushirombo. Sio kila mtu anapata chance adhimu ya kuzaliwa Dar only kwa wachache na wenye bahati.
Hawa jamaa ni wana fikra dunj sana.Kuzaliwa Mburahati, Mbagala, Tandale kwa mfuga mbwa, Buza, Gongo la Mboto n.k iwe ni jambo la kujivuna kuliko kuzaliwa Ilemela, Njiro au Iringa mjini??
Heri aende akabadilishe place of birth aseme amezaliwa hata Katavi, Inyonga kuliko kuonekana na yeye amekuzwa na chips na supu ya utumbo wa kuku huko buza.Hahahhahahha....
Umezaliwa wapi kwani? Nenda RITA wanakutengenezea kitambulisho unaweza kusema umezaliwa Amana...
Wakenya wanajivuniaga kumiliki pesa tu na kushika nguvu ya madaraka.Wakenya waliozaliwa Nairobi huwa hawana huo muda mchafu na tambo za hovyo za Kiswahili.
Au sioKwani huko Kazuramimba, hakuna mtu aliyepanga nyumba ya mtu aliyezaliwa Dar???