Usiende mbali,kwani jiwe alikua wa wapi?Imagine miaka ya giza ile kuna jamaa kutoka Butiama anakuja kuwazidi akili vijana wa mjini..
Ujanja ambao wao huona kumbe kwa wengine ni ushamba tu..
Halafu nilichoona wengi wanaojitapa kuzaliwa Dar es Salaam wanasema wamezaliwa Osheni rodi, Muhimbili, Amana, Mwananyamala na PalestinaHahahhahahha....
Umezaliwa wapi kwani? Nenda RITA wanakutengenezea kitambulisho unaweza kusema umezaliwa Amana...
Kwani wewe unaumia niniHalafu nilichoona wengi wanaojitapa kuzaliwa Dar es Salaam wanasema wamezaliwa Osheni rodi, Muhimbili, Amana, Mwananyamala na Palestina
Mwone kipara vile kinawaka kama cha mwenda zake,hebu Lumumba malizeni kero ya makazi duni Bora hata uje mpango wa kutumia mafungu ya Escrow kuimarisha makazi duni ya watu na kama wanapangisha muwe na percentageHuna namna, hilo ndio jiji la ndoto za watu wengi.
Unatoka Zurich si ukashukie huko kwenu au unategemea uwanja wa dar??
kumbe sio form fourForm six
Ni nini surely mko nayo watz kuita wengine wa mkoani gaiiiGai gai gaiiii...!!
Kipara kinapigwa na jua la darMwone kipara vile kinawaka kama cha mwenda zake,hebu Lumumba malizeni kero ya makazi duni Bora hata uje mpango wa kutumia mafungu ya Escrow kuimarisha makazi duni ya watu na kama wanapangisha muwe na percentage
Huko hata ndege angani hawazionKwamba akashukie LUSAUNGA?
Ana wivu sana huyu jamaa
Kwa wa umri wa miaka 25+ hizo ndo zilikuwa hospitali. Mi mwenzio hadi baba yangu kazaliwa Daslam miaka ya 60. Yaani baba yangu kwenda kwa mama yake anasafiri kilomita 20 tu😀😀😀😀Halafu nilichoona wengi wanaojitapa kuzaliwa Dar es Salaam wanasema wamezaliwa Osheni rodi, Muhimbili, Amana, Mwananyamala na Palestina
Hata huko Kenya, wa NAII lazima amtambie wa Ainabkoi au hata Kapsabet TownNi nini surely mko nayo watz kuita wengine wa mkoani gaiii
Kwamba Yoda anasafiri 1300kM kuitafuta Rusumo?Kwa wa umri wa miaka 25+ hizo ndo zilikuwa hospitali. Mi mwenzio hadi baba yangu kazaliwa Daslam miaka ya 60. Yaani baba yangu kwenda kwa mama yake anasafiri kilomita 20 tu😀😀😀😀
Na kanyumba ka urithi tunakuwa nacho aidha Mwananyamala, Ilala, Buguruni, Kinondoni n.k.
😂😂😂😂😂Kuzaliwa Mburahati, Mbagala, Tandale kwa mfuga mbwa, Buza, Gongo la Mboto n.k iwe ni jambo la kujivuna kuliko kuzaliwa Ilemela, Njiro au Iringa mjini??
Chocho za DSM ukiwa nje ya Highway ni kituko. kwa kifupi ni Mkoani iliyoko DSM,Chocho nyingi zimexhoka sanaWaliozaliwa Arusha ndo wameweza kwenda tofauti na watanzania wengine wote. Watu wa Arusha wameifanya Dar ionekane ya kawaida mbele ya Arusha. Mtaa wa Kaloleni hadi leo una nyumba za udongo ila vijana wa Chuga wanaiita BRONX 😀😀 (Ololoo Bronx)... ila kiuhalisia ni ndoto hadi za raia wa nchi jirani kufika Dar. Mimi bila kuja chuo mwaka 2007 ingenichukua miaka mingi zaidi kufika Dar. Ndugu zangu wengi walifika Dar kwa mara ya kwanza mwaka 2014 kwenye msiba wa shangazi huko Mbweni na mwaka 2016 kwenye harusi ya binamu. Huenda ningekuwa miongoni mwao.
Hii issue kwa zamani ilikuwa sawa kabisa mtu kujisifia kazaliwa Dar,kwakuwa mkoani watu walikuwa washamba flani hivi,ila kwakuwa mikoa mingi sasa hivi fursa za maendeleo zimefunguka huwa hata mimi mtu akijisifia kazaliwa Dar namuona yeye ndio mshamba...Huwa nikimuona mtu mzima anajisifia kuzaliwa Dar na kuwaita wengine washamba wa kuja namuona kama mtu mwenye akili fyatu, kubwa jingwa fulani hivi.
Kipi hasa cha mtu kujivunia na kutambia wengine kuzaliwa Dar? Mtu mwenyewe anayejitapa unakuta ni chawa wa watu kutoka nje ya Dar au hana hata kibanda hiyo Dar yenyewe.
Halafu ni wapuuzi gani walioanzisha utaratibu wa kuita maeneo yote ya nje ya Dar "mkoani"?!