Watu wazima wanaojitapa kuzaliwa Dar ni mojawapo ya watu wa ovyo sana

Venye wa Tz wanavyobaguananga ni kama kipindi Kila wazungu ako na kuja hapa kuto control us.

Saa hii ndo nimegundua kuwa whites kubagua blacks due to colours ni kitu kinafaa sababu hata Africans especially wa TZ wanabuaguna due to wapi wamezaliwanga.

Dar ni mji ndogo sana uki compare na Nairobi so wakazi wake should stop hii tabia.
Na venye kanairo iko far na dsm, twaeza compare dsm na Mombasa akhii, juu kitu napendanga wa tz life iko poa sana, , uchumi wa zakayo ni ume tight mazee mpka natamani kwenda kuosha matako ya waarabu omani
 
Hapo mbona kama unamsema "Le buggatti", mmeingiliana makoloni au?
Kuna sheikh mmoja pia nimemsikia anasema washamba wa kuja wameharibu mji, eti zamani kipindi cha mfungo futari zilikuwa zinaanikwa nje tu kuanzia Kariakoo hadi Buguruni wata wanapita wanajichotea tu wanakula, siku hizi washamba wamekuja mjini Dar kila mtu anajifungia ndani ya geti wanakula wenyewe!
 
mi mwenyewe "BORN HERE HERE" tena hapo kitaa cha
(Barabara ya BahariNI)
ila najinasibu kama WA-MKOAni-DYNASTY. kwani mjini kuna faida gani? kama hauna KITEGA UCHUMI cha uhakika!? kwani kusindikiza wenzako kwenye MAI$HA BORA na UCHUMI wenye NGUVU ilhali wewe ni KAPUKU, ndio UJANJA?
 
Sahihi mkuu. Ukiona mtu anajisifu kuzaliwa sehemu fulani basi jua Kuna kitu hakiko sawa kwa upande wake.

Anatumiwa kuzaliwa sehemu fulani kama defensive mechanism.
Vijiweni story zao ni Harmonize na Diamond, wakibadili Simba na Yanga, Vijana wa Dsm wana kaushamba (sio wote) flani ambako wao kwao huona ni ujanja, ikiwemo na kuongea lafudhi yao pendwa wenyewe wanaita kidar es salaam..

Ujanja si lafudhi ya mtu au anapotokea, ndio maana hii nchi wazee wa Dsm wazee wa mjini walizidiwa akili na kijana mmoja kutoka Butiama, wamebaki wakilia hadi leo kwamba yule kijana wa Butiama aliwazunguka kwenye harakati za uhuru..😀

Kingine juzi tu hapa tulikuwa tunaongozwa na rais msukuma na lafudhi yake ya kisukuma na alitisha sana..
 
Vijiweni story zao ni Harmonize na Diamond, wakibadili Simba na Yanga, Vijana wa Dsm wana kaushamba flani ambako wao kwao huona ni ujanja, ikiwemo na kuongea lafudhi yao pendwa wenyewe wanaita kidar es salaam..

Ujanja si lafudhi ya mtu au anapotokea, ndio maana hii nchi wazee wa Dsm wazee wa mjini walizidiwa akili na kijana mmoja kutoka Butiama, wamebaki wakilia hadi leo kwamba yule kijana wa Butiama aliwazunguka kwenye harakati za uhuru..😀

Kingine juzi tu hapa tulikuwa tunaongozwa na rais msukuma na lafudhi yake ya kisukuma na alitisha sana..
Hili ni pigo la utosi kwa mzee Mohammed Said
 
Na venye kanairo iko far na dsm, twaeza compare dsm na Mombasa akhii, juu kitu napendanga wa tz life iko poa sana, , uchumi wa zakayo ni ume tight mazee mpka natamani kwenda kuosha matako ya waarabu omani
Yaani rigion yote ya Dar naeza ikompeya na kaunti ya turkana na ikawa tu equal in terms of life hardship.

But when it comes to development naeza sama Naoirobo iko so far away japokuwa life ni tough juu Zakayo anazingua. Saa hii hata wazungu wengi utawakuta Nairobi hadi utasema hii Washington.

Yaani ni ngori.
 
Nairobi ni Capital of East Africa
 
Vijiweni story zao ni Harmonize na Diamond, wakibadili Simba na Yanga, Vijana wa Dsm wana kaushamba (sio wote) flani ambako wao kwao huona ni ujanja, ikiwemo na kuongea lafudhi yao pendwa wenyewe wanaita kidar es salaam..

Ujanja si lafudhi ya mtu au anapotokea, ndio maana hii nchi wazee wa Dsm wazee wa mjini walizidiwa akili na kijana mmoja kutoka Butiama, wamebaki wakilia hadi leo kwamba yule kijana wa Butiama aliwazunguka kwenye harakati za uhuru..😀

Kingine juzi tu hapa tulikuwa tunaongozwa na rais msukuma na lafudhi yake ya kisukuma na alitisha sana..
Ndo wale wale wanaoaminni ujanja ni kuvaa suruali iliyobana mapaja huku imenyofolewa magotini na pia imeshushwa kidogo chini ya nyash (mlegezo). Kichwani kiduko hadi mbinguni halafu ndani ya kichwa au ubongo hamna kitu, ukiongea tu neno Moja la kiingereza mtu anapoteana na kubadili mada kwa sababu hana shule.

Ukikuta wanabishania soka ulaya tegemea kukutana na maneno kama,
Real Magrid (real Madrid),
Oksaid (offside),
Fotofisho (fourth official),
Ball posizishen/position (Ball possession),
Saktitishen (substitution).

Yaani ni utumbo utumbo utumbo hadi unaona aibu wewe!

Cc Yoda
 
Back
Top Bottom