Watu wazima wanaojitapa kuzaliwa Dar ni mojawapo ya watu wa ovyo sana

Watu wazima wanaojitapa kuzaliwa Dar ni mojawapo ya watu wa ovyo sana

Heri aende akabadilishe place of birth aseme amezaliwa hata Katavi, Inyonga kuliko kuonekana na yeye amekuzwa na chips na supu ya utumbo wa kuku huko buza.

kwanza kuna maboss ukiwaambia wewe ni mzaliwa wa dar hawawezi kushirikiana na wewe kwenye jambo lolote lile serious, maana inaaminika kwamba nyie wazaliwa wa dar ni makanya boya na vichwa vyenu havina la maana zaidi ya stori za akina Diamond na Zuchu pamoja na Simba/Yanga.
Hahahahaha...makasirikoooo...sio sisi tuliosababisha mzaliwe mkoani Mkuu, sio sisi kabisaaa....

Mzee wangu amezaliwa Dar na amestaafu akiwa afisa wa juu kwenye kazi aliyokuwa anafanya, mimi nimezaliwa Dar and I assure you kuna vitu naweza kuwa na wasiwasi navyo kujihusu, ila akili...yaani akili....haijawahi kuwa shida zangu. 😀 😀 😀 😀
 
Kuzaliwa Mburahati, Mbagala, Tandale kwa mfuga mbwa, Buza, Gongo la Mboto n.k iwe ni jambo la kujivuna kuliko kuzaliwa Ilemela, Njiro au Iringa mjini??
What you want to tell us ni kwamba sisi tuliozaliwa Dar - Oysterbay, Masaki, Ada Estate ni bora kuliko wa Ilemela, Njiro na Iringa Mjini?

Kwahiyo shida yako ni maeneo ya uswahilini?
 
Sisi familia yetu wote tulizaliwa mjini wale ndugu zetu tilikuwa tunawakuta vijiiini likizo waliokuwa Kama Wana usongo wa kuishi mjini wqlipambana sana kwenda vyuo na kutafuta viwwnja mjini..Cha kushangaza sisi tukapendelea kwenda vijiiini kwenye maeneo makubwa na fursa Kama hizo ...kwa hio keep za mjini wa kijijini hazijui na keep za kijijini wa mjini hazijui...kila.mtu anatamani upande wa pili..
 
What you want to tell us ni kwamba sisi tuliozaliwa Dar - Oysterbay, Masaki, Ada Estate ni bora kuliko wa Ilemela, Njiro na Iringa Mjini?

Kwahiyo shida yako ni maeneo ya uswahilini?
Sioni maana yoyote ya kujivuna kuwa umezaliwa mahali fulani, ni ushamba na ujinga tu wa watu wengi wanaozaliwa Dar kufikiria kuna wanachowazidi waliozaliwa nje ya Dar.
 
Hahahahaha...makasirikoooo...sio sisi tuliosababisha mzaliwe mkoani Mkuu, sio sisi kabisaaa....

Mzee wangu amezaliwa Dar na amestaafu akiwa afisa wa juu kwenye kazi aliyokuwa anafanya, mimi nimezaliwa Dar and I assure you kuna vitu naweza kuwa na wasiwasi navyo kujihusu, ila akili...yaani akili....haijawahi kuwa shida zangu. 😀 😀 😀 😀
Nyerere amezaliwa Butiama,
Mo amezaliwa Singida
Mengi alizaliwa Kilimanjaro
Wakata mauno na machawa wengi wamezaliwa Dar.
 
Huwa nikimuona mtu mzima anajisifia kuzaliwa Dar na kuwaita wengine washamba wa kuja namuona kama mtu mwenye akili fyatu, kubwa jingwa fulani hivi.

Kipi hasa cha mtu kujivunia na kutambia wengine kuzaliwa Dar? Mtu mwenyewe anayejitapa unakuta ni chawa wa watu kutoka nje ya Dar au hana hata kibanda hiyo Dar yenyewe.

Halafu ni wapuuzi gani walioanzisha utaratibu wa kuita maeneo yote ya nje ya Dar "mkoani"?!
Pole sana mtu wa mkoani. Huwezi kujua utamu wa kuzaliwa Dar hadi uwe umezaliwa Dar. Tuliza wenge mzee.
 
Lakini hata yeye alipofika Mzizima (Dar es salaam) ilibidi atafute watu wa mjini wamsaidie kupigania uhuru.
Watu mjini ndio walimuomba awe kiongozi wao wa kupigania uhuru, Yeye ndiye alikuwa msomi na mwenye kuwajua vizuri wazungu kuliko Waswahili wa Mzizima.
 
Screenshot_20250503-233111.png
 
Hahahahaha...makasirikoooo...sio sisi tuliosababisha mzaliwe mkoani Mkuu, sio sisi kabisaaa....

Mzee wangu amezaliwa Dar na amestaafu akiwa afisa wa juu kwenye kazi aliyokuwa anafanya, mimi nimezaliwa Dar and I assure you kuna vitu naweza kuwa na wasiwasi navyo kujihusu, ila akili...yaani akili....haijawahi kuwa shida zangu. 😀 😀 😀 😀
Mbona hii comment imedhiirisha ni jinsi gani nyie wazaliwa wa dar mlivyo vichwa maji?

Suala la mzee wako kuwa afisa wa ngazi za juu hapo dar nalo ni la kututambia hapa? Haya mimi nina bibi yangu alikuwa yuko kwenye jopo la wasaidizi wa makamu wa raisi enzi za awamu ya Mkapa, naamini bila shaka kwa nafasi aliyokuwa nayo ukimlinganisha na huyo mzee wako, mzee wako anaonekana ni kikaragosi fulani tu na huyo bibi yangu amezaliwa na kukulia mkoani, ila watoto wake na sisi wajukuu zake huwezi kuta tunawatambia watu kuhusu hilo.

Vijana wa dar akili hamna kabisa nyie na kiswahili chenu cha nazi.
 
mzee wako anaonekana ni kikaragosi fulani tu
mzee wangu was just chilling😀😀😀😀...

Sikia sasa sikia (in Dogo Paten's voice)......Jua tu kwamba huu mfano nilimpa huyo kichaa mwenzio aliposema kuwa watu wa Dar bosses hawataki kufanya nao kazi na kwamba ni empty sets kazini. Did I say Mzee wangu was better than watu wote wa mikoani? Hapana!!! Usinilishe maneno.
 
Eti "in dogo paten's voice" upumbavu mtupu, na hao ndio watu influential ambao mnawachukulia kama role models wa watoto wenu huko dar?

Wapumbavu kweli nyie, hii comment tu inaonesha jinsi gani kichwa chako kilivyojaa upumbavu mwingi wa kukariri ***** ***** cha wasanii wenu wa singeli.

Tunarudi pale pale ni nani mwenye akili timamu anaweza kukushirikisha kwenye jambo serious la kimaendeleo?

Nina wana kibao tu hapo Dar ambao wana maisha, kila wakitaka kufanya projects zap za kimaendeleo huwa wananiambia mimi niwatafutie vijana huku mikoani na ninafanya hivyo na wala hawajwahi kujutia.

Wewe mzaliwa wa dar sana sana akikutafuta basi ujue labda anataka frem mpya au kununua nyumba maana nyie wengi wenu ni madalali na hakuna kazi nyingine mnayoiweza.

Mbali na kudalalia nyumba,viwanja na fremu zaidi ya hapo labda udalali mwingine ni wa wanawake... yes, Mwanangu Abuu wa Nyamomgo ameshawatomba bongo movie stars wengi sana hapo Dar na mipango yote huwa anafanyiwa na nyie wazaliwa wa Dar.... mbali na hapo hakuna jambo lingine analoweza kushirikiana na nyie
 
Eti "in dogo paten's voice" upumbavu mtupu, na hao ndio watu influential ambao mnawachukulia kama role models wa watoto wenu huko dar?
Kwamba kuenjoy mziki wa msanii ni kumuona role model?

Wapumbavu kweli nyie, hii comment tu inaonesha jinsi gani kichwa chako kilivyojaa upumbavu mwingi wa kukariri ***** ***** cha wasanii wenu wa singeli.
Hebu niambie entertainment yenu wakuja ni ipi?

Tunarudi pale pale ni nani mwenye akili timamu anaweza kukushirikisha kwenye jambo serious la kimaendeleo?
Wanaonilipa Mkuu, Wanaonilipa. Sio kila mtu.

Nina wana kibao tu hapo Dar ambao wana maisha, kila wakitaka kufanya projects zap za kimaendeleo huwa wananiambia mimi niwatafutie vijana huku mikoani na ninafanya hivyo na wala hawajwahi kujutia.
Hata majumbani tunaagiza wadada toka mkoani. Whats your point here?

Wewe mzaliwa wa dar sana sana akikutafuta basi ujue labda anataka frem mpya au kununua nyumba maana nyie wengi wenu ni madalali na hakuna kazi nyingine mnayoiweza.
Tatizo lenu wa mkoani mnapambana sana ila Dar kuna wenyewe na ndo hicho kinawauma. You can work your ass off ila ambacho huwezi fanya ni kubadili historia yako. Umezaliwa mkoani thats it, embrace it.

Mbali na kudalalia nyumba,viwanja na fremu zaidi ya hapo labda udalali mwingine ni wa wanawake... yes, Mwanangu Abuu wa Nyamomgo ameshawatomba bongo movie stars wengi sana hapo Dar na mipango yote huwa anafanyiwa na nyie wazaliwa wa Dar.... mbali na hapo hakuna jambo lingine analoweza kushirikiana na nyie
Kwahiyo wewe ni chawa wa Abuu wa Nyamongo au sio? Kwahiyo na maendeleo yote mliyo nayo ila bila kula mdada wa Dar mnakuwa hamjakamilika. Yaani mjingamjinga anapata pesa Geita huko ila bila kula Wema Sepetu au Tunda anaona hajafika, unadhani sababu ni nini?
 
Kwamba kuenjoy mziki wa msanii ni kumuona role model?

Hebu niambie entertainment yenu wakuja ni ipi?

Wanaonilipa Mkuu, Wanaonilipa. Sio kila mtu.

Hata majumbani tunaagiza wadada toka mkoani. Whats your point here?

Tatizo lenu wa mkoani mnapambana sana ila Dar kuna wenyewe na ndo hicho kinawauma. You can work your ass off ila ambacho huwezi fanya ni kubadili historia yako. Umezaliwa mkoani thats it, embrace it.

Kwahiyo wewe ni chawa wa Abuu wa Nyamongo au sio? Kwahiyo na maendeleo yote mliyo nayo ila bila kula mdada wa Dar mnakuwa hamjakamilika. Yaani mjingamjinga anapata pesa Geita huko ila bila kula Wema Sepetu au Tunda anaona hajafika, unadhani sababu ni nini?
Again umezidi kuthibitisha ujinga na uduni wa kifikra mliona nyie matoto ya dar.

Muziki wa singeli mara nyingi unakuwaga na maudhui ya kipumbavu sana, sasa kama na wewe eti enjoy maudhui hayo ya kipumbavu so ni obvious umjeza upumbavu mwingi sana kichwani mwako.

Na siku zote watoto hufuata kile ambacho wewe mzazi unakifanya, kama ni mpenda singeli ni obvious hata mwanao atakuwa ni mpenda singeli kama wewe na hapo ndipo atakapomfanya huyo muimba singeli kuwa role model wake, umeelewa sasa bogasi wewe?

Kuendelea kujivunia kuzaliwa dar halafu hapo hapo kuna wakuja kibao tu wanakuzidi maendeleo tena mbali mno hiyo ni level ya juu kabisa ya uwendowazimu, wajinga sana nyie mnajiita watoto wa mjini na wakati huo karibu majengo yote ya maana yanamilikiwa na wakuja nyie mmebaki kukariri majina ya hayo magorofa tu, na wewe mwenyewe siku ukiondoka nyumbani kwenu huko Mburahati na kuamua kwenda kupanga kigamboni, nyumba unayofikia most likely itakuwa inamililkiwa na wakuja, Halafu bado una guts za kusema eti "mimi nimezaliwa dar uniambii kitu"? wapuuzi nyie.

Mimi sio chawa wa Abuu yeye ni mwanangu tu ambaye tulikutana nae boarding school, na moja ya fantasy alizokuwa nazo ilikuwa ni kulala na hao akina Iren Uwoya na alipoanza kushika hela tu hakutaka kulaza damu, japo anatumia pesa nyingi sana. Lakin, ni zake na pia hii haina uhusiano na kukamilika au kutokamilika kwa mwanaume.

Kumbuka hata nyie wazaliwa wa dar huwa mna sexual fantasies zenu na ndio maana tunaona mnakoboana sana nyie wanawake wakati huo kaka zenu wana geuzana sana na mnaona fashion.

Kwa ufupi tu nyie wazaliwa wa Dar wengi ni wajinga na hilo halipingiki.
 
Ni kweli asilimua kubwa wanakuwaga washamba sana sasa msisemwe unakuja dar umetoka mkoani na malboro unashangaa ubungo zamani ile kwa sasa stendi ya magu upo tu halafu unaibiwa kila kitu halafu unakuwa omba omba hadi upate pesa ya kujikimu ndio umtafute uliyemjia hapo umepauka
Angalia mjinga huyu, kwa hiyo wizi ndo ujanja?
Kwenye nchi za Kistaarabu hizo zinaitwa Antisocial Behaviour ambazo ni makosa kisheria.

Na watu wengi wa dar wanaojiita wanjanja ni kwa sababu siyo wastaarabu na tabia chafu ndo ujanja kwao.
Poleni sana, kwa sababu dunia haipo huko kwa sasa
 
Huwa nikimuona mtu mzima anajisifia kuzaliwa Dar na kuwaita wengine washamba wa kuja namuona kama mtu mwenye akili fyatu, kubwa jingwa fulani hivi.

Kipi hasa cha mtu kujivunia na kutambia wengine kuzaliwa Dar? Mtu mwenyewe anayejitapa unakuta ni chawa wa watu kutoka nje ya Dar au hana hata kibanda hiyo Dar yenyewe.

Halafu ni wapuuzi gani walioanzisha utaratibu wa kuita maeneo yote ya nje ya Dar "mkoani"?!
Halafu hata kama yamezeeka yanataka ujana tu pumbavu kabisa! Ona ki mzungu pori kinajiona bado kijanki, Mau wa Kitenge and the like!
 
Halafu hata kama kamezeeka yanataka ujana tu pumbavu kabisa! Ona ki mzungu pori kinajiona bado kijanki, Mau wa Kitenge and the like!
Waliozaliwa Dar huwa ni vijana forever! 🤣
 
Back
Top Bottom