Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 143,138
- 288,731
Wala haiko mbaliIpo siku yaja......
MNAJIFARIJI MPAKA MTAZEEKA IKO SIKU YAJAWala haiko mbali
umeokota wapi huu uongo wakoWANAENDA KULETA FUJO GEREZANI WAHUNI HAO LAZIMA WAFUKUZWE TU HAWAENDI KWA ADABU NA HAKUNA MAELEKEZO KUTOKA JUU HIYO MNATUNGA WAMEONA WANAENDA KWA VURUGU
WE UMETOA WAPI HUO UZUSHI WAKO? VUMILIENI TU MIAKA 30 ATAKAYOKAA GEREZANI SIYO MINGI ATAKUJAGA KUTOKA TUumeokota wapi huu uongo wako
Mpaka mama anampiga pini mbowe, basi ujue jamaa ni GAIDI kweli...
Miaka 30 wala sio mingi...atakua anatbeleana na sabaya wamalizane huko huko...WE UMETOA WAPI HUO UZUSHI WAKO? VUMILIENI TU MIAKA 30 ATAKAYOKAA GEREZANI SIYO MINGI ATAKUJAGA KUTOKA TU
Mpaka mtazeeka na wajukuu zenu watazeeka na hiyo siku haitafika!Wala haiko mbali
Baada ya Mallya kufungwa jela akatolewa haraka kwa msamaha wa RaisNakumbuka alivyomtumia Mallya kumuuwa Marehemu Chacha Wangwe na alipothubutu kukanyaga Tarime akaokolewa na Polisi huku mawe yakivurumishwa.
YO ENGINEER WA MSALA WA WANGWE NA SAFARI HII ATASEMA UKWELI TU NGOJA KESI IENDELEE NA WAKILI WENU ANAYEJIFANYA MSOMI ANAYEULIZA MASWALI YA KIJINGA ETI WALIKAMATWA WANAKUNYWA SUPU/ AU WANATEMBEA AKAONA NI UTETEZI WA KUMTOA MT KWENYE HATIA CHALIIIIIIIIBaada ya Mallya kufungwa jela akatolewa haraka kwa msamaha wa Rais
WATAWALA WANAHARIBUJE NCHI INGEKUWA CHADEMA SAWA MAANA WANGEKUWA WANAGOMBANIA MADARAKA NDIYO MAANA HATUWAPI NCHIAmani ya nchi huharibiwa na watawala
Hahahaha ,kwanini Watanzania tumefikia hatua ya kuitana magaidi lakini ??sisi sote ni ndugu hakuna gaidi ,,,kama yupo vyombo vyetu vya usalama viko imara .....watashughulika naye ..acheni chuki hazijengi zinabomoa umoja kitaifa ..............Hao wanaoenda gerezani ni magaidi wenzake, wanaweza kufanye jaribio LA ugaidi kumuokoa mwenzao
Chadema kwisha nyinyi si mulisema muna wanachama milioni 6 nyinyi? Wako wapi? Mwenyekiti yupo jela
Mungu ibariki CHADEMA... Mungu mtie nguvu mwamba.. Zidi kumpa ujasiri