Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 376,316
- 871,876
Kukichwa kutapambazukaWala haiko mbali
Kukichwa kutapambazukaWala haiko mbali
Ulichoandika sasa sijui utakisoma baada ya Mwaka Mmoja utajichekaWE UMETOA WAPI HUO UZUSHI WAKO? VUMILIENI TU MIAKA 30 ATAKAYOKAA GEREZANI SIYO MINGI ATAKUJAGA KUTOKA TU
Chadema ndio wakwanza kuamini kuwa kuna corona Nchini, serikali imeleta chanjo atujawaona akina Myika wakiwaamashisha wafuasi wao kuchanjwa,leo wafuasi wao wanataka kupeleka corona ukonga, Mbowe akifa waanze kusema Serikali imemuua.Bora wapigwe marufuku,atakaye kwenda kumwona Mbowe awe na cheti cha chanjo, Maana chadema awachelewi kupandikiza Mbowe corona na kufa kisa wakaanza kumshambulia Serikali kuwa imemuua Mbowe
Siyo mil 6 , Takwimu zinaonyesha baada ya operesheni haki iliyopigwa nchi nzima chadema ina wanachama mil 15Chadema kwisha nyinyi si mulisema muna wanachama milioni 6 nyinyi? Wako wapi? Mwenyekiti yupo jela
Kumbe ulikuwa umeshasema sikuona,ndo ukweli huu.Chadema ndio wakwanza kuamini kuwa kuna corona Nchini, serikali imeleta chanjo atujawaona akina Myika wakiwaamashisha wafuasi wao kuchanjwa,leo wafuasi wao wanataka kupeleka corona ukonga, Mbowe akifa waanze kusema Serikali imemuua.Bora wapigwe marufuku,atakaye kwenda kumwona Mbowe awe na cheti cha chanjo, Maana chadema awachelewi kupandikiza Mbowe corona na kufa kisa wakaanza kumshambulia Serikali kuwa imemuua Mbowe,
Akili yako haina akili,WANAENDA KULETA FUJO GEREZANI WAHUNI HAO LAZIMA WAFUKUZWE TU HAWAENDI KWA ADABU NA HAKUNA MAELEKEZO KUTOKA JUU HIYO MNATUNGA WAMEONA WANAENDA KWA VURUGU
Boya katika ubora wa kiboya.WANAENDA KULETA FUJO GEREZANI WAHUNI HAO LAZIMA WAFUKUZWE TU HAWAENDI KWA ADABU NA HAKUNA MAELEKEZO KUTOKA JUU HIYO MNATUNGA WAMEONA WANAENDA KWA VURUGU
Kutoka juu wapi?Wala haiko mbali
Ndiyo maana alianza kwa kumsifia mama,lakini mama hacheki na mtu linapokuja swala la usalama wa Watanzania.Mpaka mama anampiga pini mbowe, basi ujue jamaa ni GAIDI kweli...
Angekua JPM mngeenda mpaka iyuuuu...
Roho yangu nzito sanaIpo siku yaja......
Hivi Lisu anafanya nini kwa Amsterdam?Mpaka mama anampiga pini mbowe, basi ujue jamaa ni GAIDI kweli...
Angekua JPM mngeenda mpaka iyuuuu...
Udesi be?Amani ya nchi huharibiwa na watawala
Kuna kitu kinaitwa comma na full stop. Na kuandika kwa herufi kubwa kuna maanisha unafoka kwa sauti ya juu.WANAENDA KULETA FUJO GEREZANI WAHUNI HAO LAZIMA WAFUKUZWE TU HAWAENDI KWA ADABU NA HAKUNA MAELEKEZO KUTOKA JUU HIYO MNATUNGA WAMEONA WANAENDA KWA VURUGU
Unaonaje sukuma gang wanavyokomolewaMacho kumchuzi na mcherengwa hawana akili wala upeo wa kuona watendayo...kweli bibitozo ni zero brain
Wako wapi? Mwenyekiti yupo jela mnadai kabambikiwa kesi.Siyo mil 6 , Takwimu zinaonyesha baada ya operesheni haki iliyopigwa nchi nzima chadema ina wanachama mil 15
Wacha uongo wa kimalaya, Chacha Wangwe aliuwawa na kitengo ili kumuangushia Mbowe jumba bovu lakini walishindwa na ushahidi ni kuwa kwenye uchaguzi mdogo kuziba nafasi ya Chacha Wangwe CCM iligaragazwa kinyama na Chadema. Na aliyepigwa mawe ni Mch. Mtikila ambaye alitumiwa na CCM kuleta porojo kama hii ya kwako lakini Wakurya walishausoma mchezo ndiyo wakampasua Mtikila pandikizi la CCM kwa mawe.Nakumbuka alivyomtumia Mallya kumuuwa Marehemu Chacha Wangwe na alipothubutu kukanyaga Tarime akaokolewa na Polisi huku mawe yakivurumishwa.
WANAENDA KULETA FUJO GEREZANI WAHUNI HAO LAZIMA WAFUKUZWE TU HAWAENDI KWA ADABU NA HAKUNA MAELEKEZO KUTOKA JUU HIYO MNATUNGA WAMEONA WANAENDA KWA VURUGU