Watu wazuiwa kumuona Freeman Mbowe gereza la Ukonga, Magereza wadai kupokea maelekezo

Watu wazuiwa kumuona Freeman Mbowe gereza la Ukonga, Magereza wadai kupokea maelekezo

Hawa wanaosema ni “wamepokea maelekezo” wanatofauti gani na Sabaya. Watu wengine wameshika akili zao!!

They need to be held accountable for these inhuman treatments!!!
 
Maza anaupiga mwingi hadi anajifunga magoli mwenyewe. Hii kesi itamuumbua vibaya hadi atajuta kukalia hicho kiti,na waliomuingiza huu mkenge wanagongeana glass za mvinyo wakifurahia ushindi wao.
yaani hilo unaloliwaza subiria kulia maana mwenendo wa kesi mwenyewe unaona wanaomtetea hakuna hata wakili msomi mwenye hoja za msingi wanaweka mapinga mizi yasiyo na mashiko kesi tayari mbona inaonyesha mbowe ni mvua za kutosha anapata hyo gaidi wenu
 
Duh mbona kama kuna watu wanataka kuipaka taswira mbaya serekali.
 
yaani hilo unaloliwaza subiria kulia maana mwenendo wa kesi mwenyewe unaona wanaomtetea hakuna hata wakili msomi mwenye hoja za msingi wanaweka mapinga mizi yasiyo na mashiko kesi tayari mbona inaonyesha mbowe ni mvua za kutosha anapata hyo gaidi wenu
Wewe ni boya hoja za mawakili wa Mbowe huwezi kuzielewa unachoweza wewe ni kusifia upumbavu ili kushibisha hilo fuko lako la chakula.
 
Gerezani watu huenda kwa mpangilio maalumu, nijuavyo mtu mmoja kwa siku huonwa na watu wasiozidi watatu japo mara nyingi hua wawili ndio maana wengi wao hupenda kuonwa na ndugu zao tu,

Sasa kama wao wamejazana wakidhani wataogopwa hakuna mtu yuko juu ya sheria watulie tu.

Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
 
WATAWALA WANAHARIBUJE NCHI INGEKUWA CHADEMA SAWA MAANA WANGEKUWA WANAGOMBANIA MADARAKA NDIYO MAANA HATUWAPI NCHI
Danieli 6: 4-5
Basi mawaziri na maamiri wakatafuta sana kupata sababu za kumshitaki Danieli kwa habari za mambo ya ufalme; lakini hawakuweza kuona sababu wala kosa; kwa maana alikuwa mwaminifu, wala halikuonekana kosa wala hatia ndani yake.
Ndipo wale watu wakasema, Hatutapata sababu ya kumshitaki Danieli huyo, tusipoipata katika mambo ya sheria ya Mungu wake.
AMEN
 
Hawa wanaosema ni “wamepokea maelekezo” wanatofauti gani na Sabaya. Watu wengine wameshika akili zao!!

They need to be held accountable for these inhuman treatments!!!
Na huyu hapa ama?!!
IDU_David_McAllister-600x600.jpg
 
Back
Top Bottom