Jumbe Brown
JF-Expert Member
- Jun 23, 2020
- 12,035
- 12,814
š³š³š¤£š¤£Tanzania inaikaribia Somalia na Afghanistan ki matendo.
Tumefikishwa kubaya sana na hawa watu.
Mwongo kama tumba mbichi....yaani unalifananisha taifa tulivu na salama na hizo nchi zilizojaa matendo ya kigaidi na kulipuana mabomu hovyo kila uchao?!!
Hauko serious hata chembe....
Siempre JMT