Watu wazuiwa kumuona Freeman Mbowe gereza la Ukonga, Magereza wadai kupokea maelekezo

Mahakama ziheshimiwe....

Hivi ile kauli ya ndg. John Mnyika kuhusu MAHAKAMA NA UTEUZI WA JAJI ina afya na adabu juu ya muhimili huu wa dola ?!!!

Chadema siasa za UZUSHI NA CHUKI haziwasaidii.....
Watanzania zaidi ya million 60

Sasa wanaongozwa na wazanzibar!

Zanzibar na Tanganyika kote wameshika wazanzibar!

Taifa kubwa linanyanyasika kwa kutawaliwa na kitaifa kidogo
 
SAA ya Katiba mpya ni sasa
🤣🤣🤣

Yaani mnatengeneza IGIZO ili muingie mabarabarani si ndio eee?!!

Ilipokuja "inshu" ya wamachinga mkaiona nayo ni fursa si ndio eee?!!🤣🤣

AMANI NA UTULIVU WA NCHI KWANZA
 
rekodi mbaya za kihalafu na ukorofi walizo nazo wafuasi wa Mtuhumiwa wa Ugaidi Mbowe ndio zinapelekea ulinzi na usalama uimarishwe.
sio magereza tu bali hata mahakamini pindi anapo pelekwa inapaswa ulinzi uimarishwe.
hilo ni jambo la kawaida kwa watuhumiwa wa uhalifu wa kiwango cha juu ni lazima ulinzi uimarishwe.
MATAGA Kama Wewe Bora utulie tu na ujinga wako maana Kuna wenzako kina bia yetu muda uliwaumbua walikimbia vivuli vyao humu Mimi hua natulia tu najua muda ukifika nikufufua comments zenu na hapo Ina kua muda mzuri wa kuwaumbua Kwa utaahira wenu
Keep waiting dude nitarudi kukufurahisha hapa hapa!

Keep waiting mtakavyoenda enda umbuka na ndio mtajua hamjui
Save my comment!

The terrible!
Ant MATAGA!
 
🤣🤣🤣

Yaani mnatengeneza IGIZO ili muingie mabarabarani si ndio eee?!!

Ilipokuja "inshu" ya wamachinga mkaiona nayo ni fursa si ndio eee?!!🤣🤣

AMANI NA UTULIVU WA NCHI KWANZA
Watanzania zaidi ya million 60

Sasa wanaongozwa na wazanzibar!

Zanzibar na Tanganyika kote wameshika wazanzibar!

Taifa kubwa linanyanyasika kwa kutawaliwa na kitaifa kidogo
 
Mahakama ziheshimiwe....

Hivi ile kauli ya ndg. John Mnyika kuhusu MAHAKAMA NA UTEUZI WA JAJI ina afya na adabu juu ya muhimili huu wa dola ?!!!

Chadema siasa za UZUSHI NA CHUKI haziwasaidii.....
Yule Jaji alihongwa cheo ili kumpoteza kabisa Mbowe. Mahakama imekwisha najisiwa
 
Watanzania zaidi ya million 60

Sasa wanaongozwa na wazanzibar!

Zanzibar na Tanganyika kote wameshika wazanzibar!

Taifa kubwa linanyanyasika kwa kutawaliwa na kitaifa kidogo
🤣🤣🤣
Kwa taarifa yako Dr.Mwinyi ana asili ya Mkuranga pia.....

Upumbavu umekujaa kichwani.....

ENDELEA KUUFUKUZA UPEPO
 
Mjinga wewe hata katiba ya zanzibar huelewi

Huelewi sifa za kitambulisho cha mkaazi wala sifa za kuwa raisi zanzibar ni zipi
 
Subirini mahakama imuite Mnyika kwa sababu ya kuinajisi na kuibagaza kwa maneno yake ya hovyo......

Watanzania zaidi ya million 60

Sasa wanaongozwa na wazanzibar!

Zanzibar na Tanganyika kote wameshika wazanzibar!

Taifa kubwa linanyanyasika kwa kutawaliwa na kitaifa kidogo
 
Leo Jumamosi Okt. 23, 2021 Jeshi la Magereza limewazuia watu wote waliokwenda Gereza la Ukonga kumwona Mhe. Freeman Mbowe kwa kile walichodai kuwa wamepokea maelekezo Ila hawasemi yametoka kwa nani. Ikumbukwe kuwa ni siku rasmi ya kutembelea Mahabusu na Wafungwa.

Askari Magereza walitoa agizo kwa watu waliofika Gereza la Ukonga kuwaona Mahabusu na Wafungwa kusubiri nje ya gereza mpaka utaratibu utakapokamilika. Wakati wakisubiri utaratibu magari ya Polisi yaliwasili na kuwakata kutawanyika, Jeshi hilo lilidai ni mkusanyiko usio halali.

Baada ya kauli ya Jeshi la Polisi, watu walichukua hatua ya kuingia ndani ya geti la gereza na kufuata utaratibu wa kujiandikisha ili kumwona mwenyekiti. Askari magereza waliwatenga wote waliokuja kumwona Mhe. Freeman Mbowe na kuwambiwa wanatakiwa kuwa na kibali cha kumwona.

Kwa mtaji huo haki imeingiliwa !!!
 
Vipi sindio ukweli

Watanzania zaidi ya million 60

Sasa wanaongozwa na wazanzibar!

Zanzibar na Tanganyika kote wameshika wazanzibar!

Taifa kubwa linanyanyasika kwa kutawaliwa na kitaifa kidogo
Unapiga mayowe nyikani 🤣
 
Hali iko hivi
Hii_ndio_hali_halisi_katika_Gereza_la_Ukonga._Tumefika_kumuona_M_kiti_Askari_Magereza_wanasema...jpg
 
Watanzania zaidi ya million 60

Sasa wanaongozwa na wazanzibar!

Zanzibar na Tanganyika kote wameshika wazanzibar!

Taifa kubwa linanyanyasika kwa kutawaliwa na kitaifa kidogo
Unajaza "server" kwa marudio ya "kipang'ang'a"?!!!

Hasira zako hizi hazikusaidii bwashee....

Hazitokusaidia lolote....si wewe Wala wenye mawazo kama yako....🤣🤣
 
gaidi kawakamata kweli medula oblangata zenu,badala ya kutafuta mikate ya familia zenu,mnazulula magerezani.
 
ulamwike pa milao unywe maboso neke wadze mu jamii forums kwandika uniya niya wako apa nyamule ligimilo ka lime kwi Isimani Kwani wihela lilungulu?
Ndi Pm nikupele namba ya waziri Lukuvi isaka vibarua VA kulima malungulu ghake!
Umgehele sana veve
 
Leo Jumamosi Okt. 23, 2021 Jeshi la Magereza limewazuia watu wote waliokwenda Gereza la Ukonga kumwona Mhe. Freeman Mbowe kwa kile walichodai kuwa wamepokea maelekezo Ila hawasemi yametoka kwa nani. Ikumbukwe kuwa ni siku rasmi ya kutembelea Mahabusu na Wafungwa.

Askari Magereza walitoa agizo kwa watu waliofika Gereza la Ukonga kuwaona Mahabusu na Wafungwa kusubiri nje ya gereza mpaka utaratibu utakapokamilika. Wakati wakisubiri utaratibu magari ya Polisi yaliwasili na kuwakata kutawanyika, Jeshi hilo lilidai ni mkusanyiko usio halali.

Baada ya kauli ya Jeshi la Polisi, watu walichukua hatua ya kuingia ndani ya geti la gereza na kufuata utaratibu wa kujiandikisha ili kumwona mwenyekiti. Askari magereza waliwatenga wote waliokuja kumwona Mhe. Freeman Mbowe na kuwambiwa wanatakiwa kuwa na kibali cha kumwona.

eti unamuita "mhe.mbowe"?!!!.
mtuhumiwa wa ugaidi unamwita mhe!!!.?!
afadhali basi ungemwita;
"Mhe. Gaidi Mbowe"
 
Watanzania zaidi ya million 60

Sasa wanaongozwa na wazanzibar!

Zanzibar na Tanganyika kote wameshika wazanzibar!

Taifa kubwa linanyanyasika kwa kutawaliwa na kitaifa kidogo
Pole sana mkuu...

Ila wote hao ni wa huko huko asili ..tatizo ni kwamba hujui tu
 
Back
Top Bottom