Jumbe Brown
JF-Expert Member
- Jun 23, 2020
- 12,035
- 12,814
Wanaonijua watakucheka bwashee 😳🤣🤣Jumbe hii ni zamu yenu Wakojani. Mnakula kuku kwa mrija.
Umeshtuka na hilo jina Jumbe?!!!
Kweli ni jina langu....hata huku bara yapo.....
Kwetu vizazi na vizazi ni Tanzania bara na Sina asili na Zanzibar, je unataka kuninyang'anya utambulisho wangu bwashee?!!!
Kwa hiyo kile kipindi nilichokuwa nampambania hayati JPM humu JF nacho nilikuwa nakula kuku kwa mrija kutokea Chato ama?!!! 🤣🤣🤣