Watu wazuiwa kumuona Freeman Mbowe gereza la Ukonga, Magereza wadai kupokea maelekezo

Watu wazuiwa kumuona Freeman Mbowe gereza la Ukonga, Magereza wadai kupokea maelekezo

mikono ya mbowe ,inaharufu ya damu nyngi tu zisizo na hatia!!,Kuna wakati utaigiza lakini 40,zikifika kitu kidogo tu kinakupoteza mazima!!,
 
Na corona hii mnamjazia watu baba wa watu. Acheni familia yake iwe karibu,nyie wafuasi chagueni wawakilishi

Mpo mstari wa mbele kupigia kelele corona ila vitendo ziro
 
Mjinga wewe hata katiba ya zanzibar huelewi

Huelewi sifa za kitambulisho cha mkaazi wala sifa za kuwa raisi zanzibar ni zipi
Endelea tu kuelea juujuu.....

Kwani hii ni mara ya kwanza kuwa na marais wawili wenye "asili" ya Zanzibar?!!!

Unataka kusema kuwa kipindi cha utawala wa awamu ya pili ya Mzee Mwinyi kule Zanzibar kulikuwa na Rais "mbara"?!!!

Hoja ya UBARA NA UZANZIBARI haitokusaidia wewe wala CHADEMA kuipata Katiba mpya....kamwe kamwe 🤣🤣🤣🤣

SIEMPRE SERIKALI MBILI ZA JMT
 
🤣🤣🤣

Yaani mnatengeneza IGIZO ili muingie mabarabarani si ndio eee?!!

Ilipokuja "inshu" ya wamachinga mkaiona nayo ni fursa si ndio eee?!!🤣🤣

AMANI NA UTULIVU WA NCHI KWANZA
Ndugu yangu,
kuogopa katiba mpya hakutawasaidia, maana alama za nyakati husika zishafika.
Kama mwendazake, utawala bora ulikwisha washinda.
Kama makaburu SA, mmebakia kutumaini ulaghai na vitisho.
Kwa mabavu waweza kuleta utulivu, LAKINI sio amani.
 
Enzi za kutishana zimekwisha
Umetishwa au umekumbushwa ukweli juu ya kuheshimu muhimili huo wa dola ?!!!

Spika huwa anawaita watu bungeni kujieleza na huwa hawatishwi....

Ni muda wa mahakamu kulinda tunu yake dhidi ya dharau za wanasiasa koko......

Kauli aliyoitoa mh.Mnyika haina afya kwa mahakama na majaji.....
 
Amani ya kweli kwao ni moyoni.
 
Leo Jumamosi Okt. 23, 2021 Jeshi la Magereza limewazuia watu wote waliokwenda Gereza la Ukonga kumwona Mhe. Freeman Mbowe kwa kile walichodai kuwa wamepokea maelekezo Ila hawasemi yametoka kwa nani. Ikumbukwe kuwa ni siku rasmi ya kutembelea Mahabusu na Wafungwa.

Askari Magereza walitoa agizo kwa watu waliofika Gereza la Ukonga kuwaona Mahabusu na Wafungwa kusubiri nje ya gereza mpaka utaratibu utakapokamilika. Wakati wakisubiri utaratibu magari ya Polisi yaliwasili na kuwakata kutawanyika, Jeshi hilo lilidai ni mkusanyiko usio halali.

Baada ya kauli ya Jeshi la Polisi, watu walichukua hatua ya kuingia ndani ya geti la gereza na kufuata utaratibu wa kujiandikisha ili kumwona mwenyekiti. Askari magereza waliwatenga wote waliokuja kumwona Mhe. Freeman Mbowe na kuwambiwa wanatakiwa kuwa na kibali cha kumwona.

Kibali cha kumwona Mahabusu! Kwa hiyo hicho kibali anatoa nani yarabi? Lakini hapa kuna mengi :
1) uwepo wa hii mitandao unarahisisha na kutanua mawasiliano. Sihitaji kusubiri gazeti la kesho liandike hii habari ndio niisome. Dunia nzima sasa inajua habari ya uonevu huu.
2) Mateso yooote kwa mtu ambaye wala hana hilo kosa, ni kumpandisha chati.
3)inaonekana wakubwa wanahaha, hawajui wafanye nini na Mbowe. Kumfunga ni kuendeleza ugomvi na jumuiya ya kimataifa. Kumwachia huru ni kukubali kushindwa
 
Ndugu yangu,
kuogopa katiba mpya hakutawasaidia, maana alama za nyakati husika zishafika.
Kama mwendazake, utawala bora ulikwisha washinda.
Kama makaburu SA, mmebakia kutumaini ulaghai na vitisho.
Kwa mabavu waweza kuleta utulivu, LAKINI sio amani.
Haiwezekani kundi moja tu....kundi moja tu la wanasiasa....tena CHAMA KIMOJA kikawalazimisha watanzania matakwa yao....hilo haliwezekani hata.....

FYI : Hivi hukuiona APOSTROPHE juu ya hiyo "inshu" ama ndio kuchanganyikiwa kwa kuona watanzania walio wengi hawakubali muwaingize katika maandamano ya machafuko?!!!!🤣🤣🤣
 
Ndugu yangu,
kuogopa katiba mpya hakutawasaidia, maana alama za nyakati husika zishafika.
Kama mwendazake, utawala bora ulikwisha washinda.
Kama makaburu SA, mmebakia kutumaini ulaghai na vitisho.
Kwa mabavu waweza kuleta utulivu, LAKINI sio amani.
Amani ya kweli kwao ni moyoni.
Nchi imetulia mno.....

Siasa zenu za kutaka machafuko kamwe hazitowasaidia......
 
Leo Jumamosi Okt. 23, 2021 Jeshi la Magereza limewazuia watu wote waliokwenda Gereza la Ukonga kumwona Mhe. Freeman Mbowe kwa kile walichodai kuwa wamepokea maelekezo Ila hawasemi yametoka kwa nani...
Angalia tulivyo kosa UTULIVU wa roho, yani kutembelea wafungwa tena siku rasmi nayo ni mikusanyiko isikua na KIBALI, siku huwa nawarespet askari magereza na JWTZ hawana makuu,

Niwaombe Magereza police wasiwaingilie kwenye KAZI zenu,may be Kama order imetoka KWa Rais Basi ,inchi imekua kituko Sana yani watu hawajui mipaka yao ,hapa ndo twasema katiba mpya haiepukiki
 
Back
Top Bottom