Jumbe Brown
JF-Expert Member
- Jun 23, 2020
- 12,035
- 12,814
Binafsi ni kweli ni kibwengo ninayeishi kulitukuza TAIFA LA TANZANIA...LILIVYO....HISTORIA YAKE KUNTU.....na malengo bora na adhimu kupitiliza kupitia misingi iliyoanzisha CCM.....Msukule ni wewe na vibwengo wenzako wa uvccm mnaoishi kwa kuwaabudu na kuwatukuza watawala.
🤣🤣🤣Lifilie kwa mbali liushungi na uzao wake limfuate jiwe
Hiyo siku tangu hiyo cdm ianzishwe inasemwa mbona haifikagiIpo siku yaja......
Wanafanya mikusanyiko isiyo na ulazimaWANAENDA KULETA FUJO GEREZANI WAHUNI HAO LAZIMA WAFUKUZWE TU HAWAENDI KWA ADABU NA HAKUNA MAELEKEZO KUTOKA JUU HIYO MNATUNGA WAMEONA WANAENDA KWA VURUGU
....hadaa kwa MISUKURE/MISUKULE.Hiyo siku tangu hiyo cdm ianzishwe inasemwa mbona haifikagi
😍Wanafanya mikusanyiko isiyo na ulazima
Uhai wetu uko mikononi mwa Mwenyezi Mungu....nyingine ni pang'ang'a tu....Itapendeza. Mwenyezi Mungu Mkubwa.
Uhai wetu uko mikononi mwa Mwenyezi Mungu....nyingine ni pang'ang'a tu....
Mwenyezi Mungu hawapendi wale wanaopanga mipango gizani KUONDOA UTULIVU NA AMANI YA WATU WAKE WALIO WENGI kupitia mipango kabambe ya ujanjaujanja wa maandamano ya UASI na kiitwacho "people's power"...Maombi ya wanaofanyiwa dhuluma na udhalimu humfikia Mwenyezi Mungu. KARMA IS ALWAYS A BITCH.
30 ni mumeo Sabaya! Au unapooza maumivu?WE UMETOA WAPI HUO UZUSHI WAKO? VUMILIENI TU MIAKA 30 ATAKAYOKAA GEREZANI SIYO MINGI ATAKUJAGA KUTOKA TU
A winner is a dreamer who never gives up - Nelson MandelaHiyo siku tangu hiyo cdm ianzishwe inasemwa mbona haifikagi
Mwenyezi Mungu hawapendi wale wanaopanga mipango gizani KUONDOA UTULIVU NA AMANI YA WATU WAKE WALIO WENGI kupitia mipango kabambe ya ujanjaujanja wa maandamano ya UASI na kiitwacho "people's power"...
Poleen sana.A winner is a dreamer who never gives up - Nelson Mandela
Kweli nipo kwa ajili ya kukuchokonoaWewe ni ***** watu wanajipigia tu hapo Lumumba
Lako wewe pekee ndilo lenye akili duniani humu.....Ungekuwa una akili usingeandika huu ujinga wako.
Lako wewe pekee ndilo lenye akili duniani humu.....
Kuna watu nimechagua kuwa ignore JF, ikizidi nakupiga kufuli🤣🤣🤣
Dua la kuku weee....
Dua la kuku weee.....
Kumbe muwajinga kupitiliza eee?!! Kifo si adhabu.....kifo ni haki iliyo juu ya vichwa vyetu....kifo hupangwa na Mwenyezi Mungu mwenyewe na hakuna binadamu awezaye KUKIOMBA/KUMUOMBEA mwingine.....
Binafsi ninamuombea afya njema ,nguvu nyingi na uhai mrefu mh.kipenzi chetu Rais Samia aaaamin aaaaamin aaaaamin aaaaamin🙏
FYI : Watu 500 mnatakaje kumuona mtu mmoja gerezani?!!! Mbona alipolazwa kwa tatizo la SHINIKIZO LA DAMU "hamkuvamia" hospitali Kama mlivyotaka leo?!!!
Kule Kuna utaratibu wa kufuatwa na si magerezani si ndio eee?!!! 🤣🤣
Siempre JMT