Usiogope kifo, ogopa kuishi, wakati unaishi ndio utakuwa na khofu ya kufa, utakapokufa maana yake umefaulu Mtihani, Kifo si khofu ya kuihofia, yanayokukuta, unayoona na unayosikia, ndio ya kuogopa! zaidi ya hapo kifo ni lazima kwa kila Mmoja, hakuna wa ku ki bypass, hakuna wa ku escape, usiogope mtukukwambia utatangua, sababu naye muda ukifika atafuta ama akatangulia yeye ama mkaenda pamoja! hii dhana ya after life sijui inachukuliwa vipi ( pengine inachukuliwa hivyo " dhana") lakini inafahamika kwamba chochote chenye uhai hufa, bahati mbaya hatuna tu shuhuda za kutosha baada ya kufa inakuwaje! basi kwa pamoja niwaaminishe na mimi kwamba kifo kisitutie Kjofu sababu ni Stage na woote tutaifikia wakati utakapofika. ( Muda si rafiki wa Mwanadamu. Muda ndio kama sijui ata niufananishe na likitu gani.
wewe utakufa, mimi ntakufa, soote tutakufa. je tutakapokuwa tumekufa unahisi hakutakuwa na Maisha Mengine? mwisho wa jambo ndio mwanzo wa jambo lingine.