Watu wazuri hawafi haraka - ni blackmail kwa utawala

Watu wazuri hawafi haraka - ni blackmail kwa utawala

Usiogope kifo, ogopa kuishi, wakati unaishi ndio utakuwa na khofu ya kufa, utakapokufa maana yake umefaulu Mtihani, Kifo si khofu ya kuihofia, yanayokukuta, unayoona na unayosikia, ndio ya kuogopa! zaidi ya hapo kifo ni lazima kwa kila Mmoja, hakuna wa ku ki bypass, hakuna wa ku escape, usiogope mtukukwambia utatangua, sababu naye muda ukifika atafuta ama akatangulia yeye ama mkaenda pamoja! hii dhana ya after life sijui inachukuliwa vipi ( pengine inachukuliwa hivyo " dhana") lakini inafahamika kwamba chochote chenye uhai hufa, bahati mbaya hatuna tu shuhuda za kutosha baada ya kufa inakuwaje! basi kwa pamoja niwaaminishe na mimi kwamba kifo kisitutie Kjofu sababu ni Stage na woote tutaifikia wakati utakapofika. ( Muda si rafiki wa Mwanadamu. Muda ndio kama sijui ata niufananishe na likitu gani.

wewe utakufa, mimi ntakufa, soote tutakufa. je tutakapokuwa tumekufa unahisi hakutakuwa na Maisha Mengine? mwisho wa jambo ndio mwanzo wa jambo lingine.
 
Halafu watu wanasema eti 2040 kutakua na vizee vya hovyo, wakati vimeshaanza 2022.
 
Kila nikitafakari kauli ya "watu wazuri hawafi haraka" inanichanganya maana ninaiona kama blackmail kwa utawala
Wazazi wake Yusuph Makamba, ndugu na jamaa zake wote waliokufa nao ni wabaya!
 
Kila nikitafakari kauli ya "watu wazuri hawafi haraka" inanichanganya maana ninaiona kama blackmail kwa utawala

Huyo Mzee makamba ni mpuuzi tu ! Hebu tuangalie orodha hii chini na kutathmini kauli yake kwa vifo hivi:

1. Martin Luther King
2. Patrice Lumumba
3. Che Guevara
4. Thomas Sankara
5. Tom Mboya
6. Mariam Ngwabi
7. Piere Nkurunziza
8. Robert Manley
9. Edward Sokoine
10. Malcom X
11. Lucky Dube
12. Solomon Mahlangu
13. Steve Biko
14. Azori Gwanda
15. Alphonse Mawazo
16. And many more…

Wengi wao walikufa below fourty years of age !! Wote hawa walikua wabaya ? Aaaaaa mzee Makamba bhanaaaaa !!! Acha hizo !!!
 
Magufuli alikuwa na Roho mbaya.
Kwaiyo tokea dunia imeumbwa kafa magufuli tu?

Chuki kwa mtu aliyetangulia mbele haki haikusaidi kitu mkuu.

Ndio amekufa wewe utakuwa hapa maisha?
 
Back
Top Bottom