Watu wazuri hawafi haraka - ni blackmail kwa utawala

Watu wazuri hawafi haraka - ni blackmail kwa utawala

kwakweli ukiwa na roho mbaya kwa binaadamu wenzako, unawatendea mambo mabaya, unapika majungu, unawafitini juwa mungu atakuhukumu kwa either kifo, maradhi, ajali n.k

Kinacho takiwa hapa watu wabadilike, tupendane, tutendeane mema.

Kama umewahi kufanyiwa matendo yasiyo faa na binaadamu mwenzio unaweza kumuombea afe kabisaaa, kuna baadhi ya binaadamu hawafai heri ya wanyama.
 
Ni kujipendekeza na kuficha madudu ya mwanae...
 
Ingekuwa hivyo Mandela angekuwa bado anaishi mpaka leo
Tuangalie mambo kwa mapana na marefu zaidi.
Mandela alikufa kifo cha asili akiwa ameshiba siku (Miaka 95), kijana muovu,kibaka au jambazi anauawa akiwa 19.
Kuna kufa kwa kusababishwa na tabia mbaya (yako mwenyewe au wengine) na kuna kifo cha asili (mtu akiwa mzee aliyeshiba siku).
Hapa siyo hoja ya kulenga mtu au watu wachache fulani, ni ya watu wote ulimwenguni.
 
Kila nikitafakari kauli ya "watu wazuri hawafi haraka" inanichanganya maana ninaiona kama blackmail kwa utawala
Nii kuropoka tu wala sio kutaka kuushika utawala ili ufanye watakavyo. Ulevi wa madaraka ni tatizo linawasumbua.
 
Kila nikitafakari kauli ya "watu wazuri hawafi haraka" inanichanganya maana ninaiona kama blackmail kwa utawala
hakuna kingine cha kuwaza na kufanya ila kuhangaika na kauli ya mtu ilhali mmeshaambiwa ni kuteleza kwa ulimi? Huko siko kumwombea msamaha mzee wa watu? kwenu hakuna wazee? wakiteleza kidogo na kujirudi mara moja unaendelea kumshikia tu bango? Nia yenu ni tofauti ila hamtafanikiwa nyie nyau
 
Kila nikitafakari kauli ya "watu wazuri hawafi haraka" inanichanganya maana ninaiona kama blackmail kwa utawala
Hata mimi inanichanganya balaa.

Membe alikuwa mtu mzuri
 
1683911292020.png
 
Back
Top Bottom