Boss la DP World
JF-Expert Member
- Dec 12, 2021
- 2,318
- 8,464
Ngoja tuone.Hii vita kali sana huu mwaka hauishi lazima ataanguka kigogo mwingine.
[emoji23][emoji23][emoji23]dingi wa waziri wako.kale kazee sijawahi kukaelewaa kabisa
Angejitetea tu kwani hawezi?Aliogopa kuna watu wangemuuliza kuhusu kauli yake.....
Mzee mwenyewe.Nyinyi vijana wadogo mnapata wapi ujasiri wa kumsema mkurungwa.
View attachment 2622177
jambo limekuzwa sana, angeweza kufanywa kuwa next. utajiteteaje kwa kila mtu unayekutana/pishana nae!Angejitetea tu kwani hawezi?
Yere yere.Mzee mwenyewe.
πππLala salama Mzee wetu Bernard Membe
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Nyinyi vijana wadogo mnapata wapi ujasiri wa kumsema mkurungwa.
View attachment 2622177
Lakini kwa umri wao ukisikia kifo ni kawaida mkuu. Ukishavuka 70 muda wowote pumzi inakata.Hii vita kali sana huu mwaka hauishi lazima ataanguka kigogo mwingine.