kibobori mahoro
JF-Expert Member
- Dec 12, 2022
- 7,452
- 10,785
Kwa hiyo mantiki basi aliyekufa ni mbaya na madai ya Musiba yametimia. Huyo Mzee anaikimbia kauli yake.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wazee kama wale hawana akili ndio maana huwa wanazungumza kauli za kipumbavu tu.kifo ni cha watu wote ukweli unabaki hivyo.Huu uzi hauhusiani na uzi wowote, ni kama ule wa watu wazuri hawafi.
Amakweli nimeamini mzee Makamba alimaanisha alichokisema maana hajaenda msibani, wala hajatoa salamu za rambirambi, nimeangaza angaza sijafanikiwa kumwona mwanawe msibani.
Hongera mzee wangu kwa kusimamia kauli yako.
Kuna mambo huwa wanadamu wanasema au kufanya kwa nia cha kumchokoza muumba wao. Hii fake empire waliyofikiri wanayo, imejengwa na minara ya mabua ya mahindi. Lazima itaungua motoUzee
yKuna wakati nashangaa, hawa watu wasiojielewa walipataje madaraka? Very selfish!Wazee kama wale hawana akili ndio maana huwa wanazungumza kauli za kipumbavu tu.kifo ni cha watu wote ukweli unabaki hivyo.
Inasemekana mnyama amerudi,kwa hiyo wanaojinasibu kuwa wazuri inabidi wajifiche wasijeingia kwenye kundi la wabayaHuu uzi hauhusiani na uzi wowote, ni kama ule wa watu wazuri hawafi.
Amakweli nimeamini mzee Makamba alimaanisha alichokisema maana hajaenda msibani, wala hajatoa salamu za rambirambi, nimeangaza angaza sijafanikiwa kumwona mwanawe msibani.
Hongera mzee wangu kwa kusimamia kauli yako.
Hii fake empire waliyofikiri wanayo, imejengwa na minara ya mabua ya mahindi. Lazima itaungua moto[emoji419][emoji375]Kuna mambo huwa wanadamu wanasema au kufanya kwa nia cha kumchokoza muumba wao. Hii fake empire waliyofikiri wanayo, imejengwa na minara ya mabua ya mahindi. Lazima itaungua moto