Tsh
JF-Expert Member
- Aug 26, 2021
- 17,022
- 36,936
Watu wana 70+ kufa ni jambo lisilo la kipekee, hakuna vita yoyote ila kuna washangiliaji wa vifo.Hii vita kali sana huu mwaka hauishi lazima ataanguka kigogo mwingine.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Watu wana 70+ kufa ni jambo lisilo la kipekee, hakuna vita yoyote ila kuna washangiliaji wa vifo.Hii vita kali sana huu mwaka hauishi lazima ataanguka kigogo mwingine.
... hujawahi vipi kumuelewa chief executive officer wa chama kubwa aka chama dola? Yule ndio taswira ya chama kwa ujumla wake.kale kazee sijawahi kukaelewaa kabisa
Watu wazuri hawafiMbona unacheka msibani😓😓
Kama namuona anamfokea mpakuaji asimpe ukoko na nyama yenye mafutamafuta kwa ile misemo yake ya kihenga.Nyinyi vijana wadogo mnapata wapi ujasiri wa kumsema mkurungwa.
View attachment 2622177
Watu wazuri hawafi
Anaota kutupa Rais ajaye. Kama vile ni kazi rahisi hivyo. Uzuri wema hawafi...wataendelea kuishiNyinyi vijana wadogo mnapata wapi ujasiri wa kumsema mkurungwa.
View attachment 2622177
Wazuri wakiambukizwa si hawafi?Kaogopa kuambukizwa virus,vinavyosababisha homa ya mapafu.
Nafurahi 😂😂😂Mbona unacheka msibani😓😓
AnaumwaHuu uzi hauhusiani na uzi wowote, ni kama ule wa watu wazuri hawafi.
Amakweli nimeamini mzee Makamba alimaanisha alichokisema maana hajaenda msibani, wala hajatoa salamu za rambirambi, nimeangaza angaza sijafanikiwa kumwona mwanawe msibani.
Hongera mzee wangu kwa kusimamia kauli yako.
Mtu mwema anaumwa na nini? 😂 😂 😂 😂 😂 😂Anaumwa
Sawa.Anaumwa
Nmejikuta nacheka tu😅😅,kumbe mzee anasamia Theory yake bila kuyumbishwa "watu wazuri hawafi" ukifa wew mbayaHuu uzi hauhusiani na uzi wowote, ni kama ule wa watu wazuri hawafi.
Amakweli nimeamini mzee Makamba alimaanisha alichokisema maana hajaenda msibani, wala hajatoa salamu za rambirambi, nimeangaza angaza sijafanikiwa kumwona mwanawe msibani.
Hongera mzee wangu kwa kusimamia kauli yako.
Pia amemfundisha mwanaye kuto hudhuria misiba ya watu.Nmejikuta nacheka tu😅😅,kumbe mzee anasamia Theory yake bila kuyumbishwa "watu wazuri hawafi" ukifa wew mbaya
UzeeMtu mwema anaumwa na nini? [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Sasa kama IQ ni ndogo,unadhani utamuelewa?kale kazee sijawahi kukaelewaa kabisa