Watu wana 70+ kufa ni jambo lisilo la kipekee, hakuna vita yoyote ila kuna washangiliaji wa vifo.Hii vita kali sana huu mwaka hauishi lazima ataanguka kigogo mwingine.
πππ
... hujawahi vipi kumuelewa chief executive officer wa chama kubwa aka chama dola? Yule ndio taswira ya chama kwa ujumla wake.kale kazee sijawahi kukaelewaa kabisa
Watu wazuri hawafiMbona unacheka msibaniππ
Kama namuona anamfokea mpakuaji asimpe ukoko na nyama yenye mafutamafuta kwa ile misemo yake ya kihenga.Nyinyi vijana wadogo mnapata wapi ujasiri wa kumsema mkurungwa.
View attachment 2622177
Watu wazuri hawafi
Anaota kutupa Rais ajaye. Kama vile ni kazi rahisi hivyo. Uzuri wema hawafi...wataendelea kuishiNyinyi vijana wadogo mnapata wapi ujasiri wa kumsema mkurungwa.
View attachment 2622177
Wazuri wakiambukizwa si hawafi?Kaogopa kuambukizwa virus,vinavyosababisha homa ya mapafu.
Nafurahi πππMbona unacheka msibaniππ
AnaumwaHuu uzi hauhusiani na uzi wowote, ni kama ule wa watu wazuri hawafi.
Amakweli nimeamini mzee Makamba alimaanisha alichokisema maana hajaenda msibani, wala hajatoa salamu za rambirambi, nimeangaza angaza sijafanikiwa kumwona mwanawe msibani.
Hongera mzee wangu kwa kusimamia kauli yako.
Mtu mwema anaumwa na nini? π π π π π πAnaumwa
Sawa.Anaumwa
Nmejikuta nacheka tuπ π ,kumbe mzee anasamia Theory yake bila kuyumbishwa "watu wazuri hawafi" ukifa wew mbayaHuu uzi hauhusiani na uzi wowote, ni kama ule wa watu wazuri hawafi.
Amakweli nimeamini mzee Makamba alimaanisha alichokisema maana hajaenda msibani, wala hajatoa salamu za rambirambi, nimeangaza angaza sijafanikiwa kumwona mwanawe msibani.
Hongera mzee wangu kwa kusimamia kauli yako.
Pia amemfundisha mwanaye kuto hudhuria misiba ya watu.Nmejikuta nacheka tuπ π ,kumbe mzee anasamia Theory yake bila kuyumbishwa "watu wazuri hawafi" ukifa wew mbaya
UzeeMtu mwema anaumwa na nini? [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Sasa kama IQ ni ndogo,unadhani utamuelewa?kale kazee sijawahi kukaelewaa kabisa