Watu wazuri hawafi: Mzee Makamba hajaonekana kwenye msiba wa Mzee Membe

Wazee kama wale hawana akili ndio maana huwa wanazungumza kauli za kipumbavu tu.kifo ni cha watu wote ukweli unabaki hivyo.
 
Wazee kama wale hawana akili ndio maana huwa wanazungumza kauli za kipumbavu tu.kifo ni cha watu wote ukweli unabaki hivyo.
yKuna wakati nashangaa, hawa watu wasiojielewa walipataje madaraka? Very selfish!
 
Inasemekana mnyama amerudi,kwa hiyo wanaojinasibu kuwa wazuri inabidi wajifiche wasijeingia kwenye kundi la wabaya
 
Kuna mambo huwa wanadamu wanasema au kufanya kwa nia cha kumchokoza muumba wao. Hii fake empire waliyofikiri wanayo, imejengwa na minara ya mabua ya mahindi. Lazima itaungua moto
Hii fake empire waliyofikiri wanayo, imejengwa na minara ya mabua ya mahindi. Lazima itaungua moto[emoji419][emoji375]
 
Watu wazuri hawafi aende kwenye msiba gani sasa ye anachojuwa membe hajafa fullstop
 
Hivi huyu mzee alifika Kwa msiba wa mzee Mwinyi?!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…