MKEHA
JF-Expert Member
- Jan 26, 2013
- 716
- 1,143
Is Ndalichako minister or ministress?'...When you read all the comment...'
Aloo kweli Lugha ya wenyewe hii
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Is Ndalichako minister or ministress?'...When you read all the comment...'
Aloo kweli Lugha ya wenyewe hii
you are an idiotYour an idiot[emoji849]
shida ni kwenye matumizi ya subject,possessive pronoun and verb to` be`Kwa muda mrefu nimekutana na makosa ya utumiaji wa neno you're na your ,watu wengi hawajui matumizi ya neno you're na your hivyo kuchanganya na kuondoa maana ya kusudio
80% ya watumiaji wa mitandao duniani kote hufanya makosa haya ya kutofautisha matumizi ya you are na your na kwa Tànzania asilimia kubwa ya watu huchanganya matumizi ya you're na your
YOUR
Kwa huku kwetu Tanzania hupenda kufupisha kama ur kwa watumiaji wa SMS ,sasa your au ur hutumika nyuma ya noun, na huzungumzia haswa belonging
Mfano
1.is this your house ?
2.This is my pen
Makosa
Is that You're friend ×
Is that your friend √
Matumizi ya You're
Mfano
1.you are naive
2.you are an idiot
3.the problem is that you're still incompetent
Ukisema
Your brave × kosa kubwa
You're braive √
Nb:kuanzia leo sitarajii kwa mwana jf kufanya makosa ya kuchanganya matumizi ya you're na your
kwahiyo umeona utuletee na maneno ya kisukuma kabisa mkuu!pronunciation
Ni neno moja. You're ni kifupisho cha cha you areCyo moja
Kwa muda mrefu nimekutana na makosa ya utumiaji wa neno you're na your ,watu wengi hawajui matumizi ya neno you're na your hivyo kuchanganya na kuondoa maana ya kusudio