Watu wengi hawana kazi kwa sababu hawana taarifa za uwepo wa nafasi hizo

Watu wengi hawana kazi kwa sababu hawana taarifa za uwepo wa nafasi hizo

Rog chimera

JF-Expert Member
Joined
Apr 28, 2018
Posts
398
Reaction score
706
Hauna kazi kwa sababu hauna taarifa za kuwepo kwa nafasi za kazi. Kupata taarifa njoo kwenye group la watsapp la ajira. Tunapost ajira mpya kila siku.nicheki inbox niku add kwenye group. Ukijifanya mbishi shauri yako utaendelea kukaa bila kazi wakati kila siku nafasi za kazi zinatangazwa na ma kampuni kila kona ya nchi.

Kuwa na connection na watu sahihi upate kazi.
 
Hauna kazi kwa sababu hauna taarifa za kuwepo kwa nafasi za kazi .Kupata taarifa njoo kwenye group la watsapp la ajira. Tunapost ajira mpya kila siku.nicheki inbox niku add kwenye group.Ukijifanya mbishi shauri yako utaendelea kukaa bila kazi wakati kila siku nafasi za kazi zinatangazwa na ma kampuni kila kona ya nchi.
Kuwa na connection na watu sahihi upate kazi.

Njia rahisi ni kuweka link ya group hapa ili kulinda privacy. Obviously nikikutumia namba yangu utanijua wakati hapa JF tunatumia pseudo names.​
 
Nimesema wapi kwamba nia yangu ni kusaidia watu??😂😂😂
Mnapenda vtu vya bure na vyepesi ndio maana hamfanikiwi.
1000012714.jpg
 
Hauna kazi kwa sababu hauna taarifa za kuwepo kwa nafasi za kazi .Kupata taarifa njoo kwenye group la watsapp la ajira. Tunapost ajira mpya kila siku.nicheki inbox niku add kwenye group.Ukijifanya mbishi shauri yako utaendelea kukaa bila kazi wakati kila siku nafasi za kazi zinatangazwa na ma kampuni kila kona ya nchi.
Kuwa na connection na watu sahihi upate kazi.
Tanzania tupo milioni 60
kati ya hao watu milioni 50
hawana ajira
KWA KIFUPI......kazi zipo nyingi sana ila ajira ni dunia nzima hakuna.
Kwa hiyo USITUTISHee 🙂
 
Sijawa mkali nimeweka na link, ila watanzania mtambue kuwa hamna vya bure, yani mi nifanye kazi ya kukutafutia matangazo ya kazi wewe uombe upate kazi
Buree tu??? Inakuingia akilini ??
Kwa hiyo na wewe umeamua kuwakamua wenye uhitaji..
 
Back
Top Bottom