Watu wengi hawana kazi kwa sababu hawana taarifa za uwepo wa nafasi hizo

Tanzania tupo milioni 60
kati ya hao watu milioni 50
hawana ajira
KWA KIFUPI......kazi zipo nyingi sana ila ajira ni dunia nzima hakuna.
Kwa hiyo USITUTISHee 🙂
Apo ulipo huna kazi ,hili nna uhakika nalo kwa asilimia 100😂😂😂😂😂
 
Juzi tu nimetapeliwa, jamaa anajifanyaga anapewaga kazi kumbe anazitoa epic job na ajira news.. nililipa elfu 5 kununua taarifa ambayo mitandaoni ningeipata
 
Hauna kazi kwa sababu hauna taarifa za kuwepo kwa nafasi za kazi .Kupata taarifa njoo kwenye group la watsapp la ajira. Tunapost ajira mpya kila siku.nicheki inbox niku add kwenye group.Ukijifanya mbishi shauri yako utaendelea kukaa bila kazi wakati kila siku nafasi za kazi zinatangazwa na ma kampuni kila kona ya nchi.
Kuwa na connection na watu sahihi upate kazi.
Skills za ku apply na ku approach interview bado ni changamoto pia?
 
Juzi tu nimetapeliwa, jamaa anajifanyaga anapewaga kazi kumbe anazitoa epic job na ajira news.. nililipa elfu 5 kununua taarifa ambayo mitandaoni ningeipata
😂😂😂😂 mbona ulikubali sasa kulipia?? Si ungetafuta mwenyewe, mnatapeliwa sababu ya uvivu na kupenda vya bure!
 
Sijawa mkali nimeweka na link, ila watanzania mtambue kuwa hamna vya bure, yani mi nifanye kazi ya kukutafutia matangazo ya kazi wewe uombe upate kazi
Buree tu??? Inakuingia akilini ??
Ajira huleta ajira na kama kweli mna nia njema na kutoa ajira basi ungefungua website ya ajira na mtu ana download app yako huku ukiajiri wengine

Aidha mko nyuma sana katika dunia ya leo au hamtaki kwenda na wakati
Mtu hana kazi unamuuliza hela wakati unaweza kufungua ajira na kuwatoza wenye makampuni wakulipe kwa kila mtu unaemuunganisha kwao

Hapa nilipo kuna makampuni mengi ya Employment agencies na moja ambayo naipenda zaidi ni CV-Library hawa wana ajira 250,000 kila siku

Mtu anaweka CV yake unaanza kusumbuliwa na kampuni zaidi ya 10 kila mara
Hapo ndipo wanapiga hela
Sasa jiongeze
Huku hatulipi hata senti ila unapiga kazi hata nne kwa siku ukitaka
 
Ndugu, sio kila unachokiona kiko kama unavyoona. Ni kampuni gani Tanzania hii iwe na nafasi za kazi 250,000 kwa siku? Una uhakika na unachokiongea??

1.Kwanza kampuni kubwa nyingi zina internal Talent Acquisition team, hazihitaji kutumia Recruitment Agency
2. Pili small to medium business hazitumii kabisa hizo Recruitment agencies, huwa zinatangaza tu locally na zinapata watu.
3.Hizo Recruitment agency nyingi zinapumulia mashine zina hali mbaya kiuchumi, wewe hujui unachokiongea!!!
 
Kichwa cha babari ilitakiwa bandiko lako liwe hivi na hoja zako ziwe hivi.

"WATU WENGI HAWANA KAZI KWA SABABU MFUMO WA ELIMU HAURUHUSU WATU KUA NA KAZI ( KUJIAJIRI AU KUAJIRIWA) BALI UNA RUHUSU WATU KUENDELEA KUTOKUA NA KAZI ZOZOTE ZA KUFANYA ILI WABAKI MASIKINI NA TEGEMEZI SIKU ZOTE"
 
Sikubaliani na wewe,kazi zipo, japo hazitoshi ila zipo. Mfumo wa elimu ni ule ule tu hata majuu
 
Ndugu, sio kila unachokiona kiko kama unavyoona. Ni kampuni gani Tanzania hii iwe na nafasi za kazi 250,000 kwa siku? Una uhakika na unachokiongea??

1.Kwanza kampuni kubwa nyingi zina internal Talent Acquisition team, hazihitaji kutumia Recruitment Agency
2. Pili small to medium business hazitumii kabisa hizo Recruitment agencies, huwa zinatangaza tu locally na zinapata watu.
3.Hizo Recruitment agency nyingi zinapumulia mashine zina hali mbaya kiuchumi, wewe hujui unachokiongea!!!
Sio kwamba sijui ninachokiongelea bali hiyo kampuni ya kutafuta ajira 250,000 kwa siku ni ya nje wala sikuifananisha na ajira za huko ambazo nyingi sana hazilipi kodi boss
Nimekuelewa katika maandishi yako ya mwisho kuhusu employment agency lakini sikuwa na maana mbaya kabisa
 
Back
Top Bottom