Watu wengi hawana uelewa kuhusu UKIMWI

Hivi kumbe huwa zipo wodi za wagonjwa wa ukimwi?
 
Kwamba Kinga ya mwili inazuia ukimwi? Unaongea kwa experience !!ukimwi maana yake ni Upungufu wa kinga Mwilini halafu Kinga Izuie?acha kujibu maswal kwa mazoea Mzee ,Your totally Wrong
Unaelewa nini kuhusu immunity na bllod group?
Muulize lecture wako au Profesa wako Delta 24 ni nini? Akishakwambia maana yake rudi hapa.

Ila kama wewe ni daktari mtalajiwa basi umuhimu wa kuwa na pesa za kutibiwa India au ulaya bado uko palepale, mnakata watu miguu hovyo kwa kesi za kumponyesha mtu kwa vidonge tu.
 
Hivi kumbe huwa zipo wodi za wagonjwa wa ukimwi?
 
Msuguano wa nyama kwa nyama una Raha yake Jamani[emoji39]
Na ndicho kinachotuponza hicho unakutana na demu anakuangalia tu na kondomu zako mkizoena kondomu zinasahaulika mnahamia kwenye vidonge p2 mwagia ndani kabisa baby. Shetan alaaniwe kwakweli
 
Mi navyojua virusi vya ukimwi vinakaa kwenye majimaji ya ukeni ikiwa huyo mwanamke atachubuka sehemu za Siri akiwa anafanya mapenzi na mwanaume kupelekea na huyo mwanaume kupata hivyo virusi ikiwa na yeye atapata michubuko sehemu zake za Siri over ila kwenye mrija wa mkojo mfano vikipita Sasa vinaenda wapi kwenye kibofu au .????

Kama ni kwenye majimaji ya ukeni kwann Sasa huwa wanapima damu na sio hayo majimaji ya ukeni.....????
 
Inawezekana vinapatikana kwa wingi kwenye damu na uchache kwenye hayo maji maji ya ukeni.......ngoja tuzidi kupata michango ya wataalamu
 
Hakika.
 
Hii nchi ina mambo mengi sana, kama mtu anandanganya mwenzake kuwa akimaliza kufanya mapenzi anywe maji mengi ili asipate mimba kweli? Hata unywe ndoo kumi, mimba ikiingia imeingia.

Vaeni condom ni safe sana
Labda wanaamini mimba ina share utumbo mmoja na chakula.
 
Mtoa mada kama ulivyokiri kuwa bado ni mwanafunzi na kweli hujajua hasa ukimwi ni nini, UKIMWI ni Upungufu wa Kinga Mwilini sasa mtu anawezaje kumuambukiza mwenzie huo upungufu?

Pia kuhusu michubuko haupo sahihi, mimi natomba bila kukamia mechi mwaka wa 30 huu bila condom wala nini na sipati huo ugonjwa.
 
Wao wenyewe wanachanganywa huko vyuoni wanaposoma, kiasi kwamba wanakuja kutuelezea au kutufafanulia jambo ambalo hata kwao halipo clear.

Binafsi nitaendelea kumuamini Deception maana madokta wote walipoteana, na hakuna aliyeweza kutoa hoja za kueleweka mbele yake.
 
Hajaelewa alichoelezwa darasani. Alaf anakuja kutumwagia sisi matango pori
 
Vaginal fluid and blood can carry HIV, which can pass through the opening at the tip of the penis (urethra) .Anayebisha? Hyo nmewasaidia na kugoogle
 
Sasa ikiwa virus wanapatikana kwenye vaginal fluid kwanini vipimo vihusishe damu?
Nijuavyo mimi, mtu mwenye Aids tayari huyu hata mate yake yanakuwa na vimelea vya ukimwi lkn si mwenye HIV.
 
Hayo ni maneno mkuu Japo Mkanda wa jeshi -Shingles ambapo inatokana na Reactivation(kurudi mara ya pili) kwa Chickenpox sasa Tiba yake ni Antiviral drugs Kama Acyclovir ,sasa dawa hizohzo Zinatumika na wagonjwa wa ukimwi kwenye some cases ,hila haimaanishi Ukiwa na Shingles Ni lazima unaukimwi
 
Mnatuchanganya sana na hizi elimu zenu.
 
Vaginal fluid and blood can carry HIV, which can pass through the opening at the tip of the penis (urethra) .Anayebisha? Hyo nmewasaidia na kugoogle
Sema ni asilimia ngapi probability ya Vaginal fouids ad semen inayoweza kubeba virus

Yaani katika watu 10, ni wangapi wanaweza kuambukizwa kupitia only fluids i.e SEMEN and VAGINAL FLUID

sio unaleta maelezo tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…