dronedrake
JF-Expert Member
- Dec 25, 2013
- 23,901
- 58,103
NAKAZIAAcheni kuwatisha watu, Ukimwi haupo! Ni utaratibu mbovu Wa kuwahadaa na kuwaingiza watu mkenge.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
NAKAZIAAcheni kuwatisha watu, Ukimwi haupo! Ni utaratibu mbovu Wa kuwahadaa na kuwaingiza watu mkenge.
Hii nchi ina mambo mengi sana, kama mtu anandanganya mwenzake kuwa akimaiza kufanya mapenzi anywe maji mengi ili asipate mimba kweli? Hata unywe ndoo kumi, mimba ikiingia imeingia.
Vaeni condom ni safe sana
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kama ilivyokuwa kwa COVID19. Yani mrusi kavamia Ukraine, na UVIKO ukaisha ghafla...
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hii nchi ina mambo mengi sana, kama mtu anandanganya mwenzake kuwa akimaiza kufanya mapenzi anywe maji mengi ili asipate mimba kweli? Hata unywe ndoo kumi, mimba ikiingia imeingia.
Vaeni condom ni safe sana
Hana utaalam wowote kanjanja tu huyo, kimsingi huu ugonjwa wanaume ndio wenye nafasi kubwa ya kupunguza maambukizi.Duh!! Mbona nyinyi wataalamu mnatuchanganya Sasa..... wengine wanatuambia tupige foreplay ili kuleta maji maji ukeni kwa ajili penzi salama..... wengine mnatuambia kuwa vinapita kwa njia ya mkojo mbona mnatuchanganya Sasa.......yaani kila mtaalamu anakuja na yake....
Asante kwa elimu kiongozi.....Hana utaalam wowote kanjanja tu huyo, kimsingi huu ugonjwa wanaume ndio wenye nafasi kubwa ya kupunguza maambukizi.
Iko hivi, mwanaume mwenye virusi vya ukimwi akitembea kavukavu na mwanamke mzima ambaye hajaathirika akimkojolea hiyo ujuwe imoo lazima mwanamke apate maambukizi, sperm za mwanaume zinaambukiza ngoma wala hakuhitajiki mchubuko.
Lakini mwanaume mzima akitembea na mwanamke muathirika kavukavu na akamkojolea na bado anaweza kutoka salama, kwahiyo utaona hapo issue ya mchubuko inamuhusu mwanaume tu na siyo mwanamke.
Kama kuna kiumbe anatakiwa kujilinda zaidi na kushika bango la condom basi ni mwanamke ndio mwenye risk zaidi ya kuambukizwa na mwanaume.
Mwisho ifahamike si kila binadamu anaweza kuambukizwa ukimwi, inategemea na damu ya mtu na immunity zake, watu hao wanapatikana kwa wingi nchini Gambia.
Nadhani mfano umeuona hata kwenye corona ni virus pia, watu weupe virus zinawasumbuwa sana watu weusi wengi wao wanadunda tu.
Wengi tumeuguwa Corona zaidi ya mara moja na tumepona bila hata kujuwa kama ni corona, hapo issue ni immunity zetu kwa virus wa corona hawana madhara makubwa kwetu na huo ndio ukweli.
Haya umesoma yameandikwa na Mtu kama ambavyo anayesema lazima kuwe na mchubuko anavyosema. Kama majimaji tu yangesababisha Ukimwi basi asilimia 60 ya Watanzania Leo wangekuwa waathirika.Habari za usiku wanajamii Forums!
Actually Mimi ni mwanafunzi kwenye Field hizi za science kuna kitu Kinaniumiza Moyo Kuwa watu wengi Hawajui kuhusu Ukimwi.
Wengi wanazani Mtu Anapata ukimwi Pale ambapo Akimchubua Muathirika Wakati Anafanya naye Mapenzi, kihivi wengi wanaamini mtu akifanya mapenzi na Muathirika wa ukimwi Taratibu Bila Kuingiza kwa nguvu (bila msuguano mkali)Basi hawez kupata ukimwi .SIO UKWELI
Jamani Virusi vya ukimwi vinakaa kwenye ute ute wa mwanamke(Vaginal fluids) kwa maana hyo Mwanaume akifanya mapenzi na mwanamke ambaye Ameathirika huo ute ute unapita Kwnye Mfereji wa mwanaume (male urethra) unaingia Then itapelekea na yeye kupata Ukimwi hata kama hakuna mchubuko Wowote.Hii kitu Watu wanachukulia poa sana.
Sio kwamba hukifanya polepole bila kumchubua ndo Hutapata ukimwi ni kwamba uliefanya naye hakuwa na Ukimwi.
Kama anaukimwi na ni ukweli hujapata baada ya kupima its Happens japo mara chache sana vipokezi (receptors )za ukimwi ziitwazo CCR5 zimepata mabadiliko (mutation) hivyo zinashindwa kusababisha ugonjwa ambapo hata ufanye mapenzi Na watu kumi wenye maradhi kwa pamoja Huwezi Kupata ukimwi, na watu ambao mabadiliko hayo uwapata ni asilimia kidogo ya watu kwa dunia nzima.
KUWA MAKINI UKIMWI NI MBAYA !!PITA WODI ZA WAGONJWA WA UKIMWI UTAELEWA. CHEZA SALAMA. USE PROTECTIONS
Maestro de Quimica !!OP
View attachment 2162314
Ngoja tusubiri mwaka wa 3 atafundishwa nini!Mkuu mimi nakushauri ukazane na shule ya Afya kama ulivyosema ni mwanafunzi bado
Hayo maji maji ungetuambia chance yake ya kubeba virus ni asilimia ngapi hapo ungeeleweka
Lakini ulichoandika ni speculations zako tu na hisia, ila ukweli ni kuwa maji maji hayabebi virusi wa HIV, kama ingekua hivo basi dunia nzima tungekua ni waathirika
Pia lingine kama maji maji ama UTE UTE kama ulivyoita wewe unabeba virusi, basi hata mate nayo yanabeba virusi, kitu ambacho sio sahihi
Shida sio vifanyio, shida ni mwamko uliopo kwenye matumizi ya vifanyio. Watu wengi hawana mwamko wa matumiz ya condom(including me) wengi hutumia siku ya kwanza/mwanzo wa mahusiano yao tu baada ya hapo ni nyama kwa nyama.Nafikiri sio tu hawana uelewa bali hata hela za kununulia vifanyio hawana na sometimes vifanyio havipatikani madukani
Hiyo ilikuwa ni miradi ya watu kupiga pesa, kwani nyota ya kijani umeisikia tena?Msisitizo na hamasa ya Elimu kuhusu huu ugonjwa wa UKIMWI kwa kweli umeshuka mno..ni kama haipo kabisa.Nikikumbuka miaka ya mwanzoni mwa 2000 kampeni zilikuwa kila sehemu (ishi,Jilinde n.k,Taasisi za Angaza,Semina mbalimbali hata na nyimbo (Starehe - Ferouz,Usione soo n.k)