Dennis Robert Shughuru
JF-Expert Member
- May 30, 2024
- 5,559
- 8,747
Endelea kuonyesha ujinga wakoTafuta shughul ya kufanya kijana Kule kwa muhind ushaharibu
Tafuta shughul ya kufanya 5month ago ulipta kibarua kwa muhind ukawa busy na kaz sasa naona ushaharibu umeanza porojoEndelea kuonyesha ujinga wako
Yaani mtu analazimisha mambo ya uongo dhidi yakoTafuta shughul ya kufanya 5month ago ulipta kibarua kwa muhind ukawa busy na kaz sasa naona ushaharibu umeanza porojo
Nimeeleze nyuzi nyingi huku sana mwaka jana ila sahivi nimejikita tiktok na youtubeUngetuambia mipango yako ni ipi ya kuutafuta urais wa 2030.
Naona umezungumzia uhalisia wa jinsi marais wetu wanavyopatikana, sasa wewe njoo utuoneshe mipango yako ni ipi kama unautaka urais usio wa ngekewa.
Haujatuambia hata kama ni mwanachama wa chama chochote cha siasa, navyojua mgombea binafsi kwetu Tanzania hatakiwi.
Punguza mihemkoYaani mtu analazimisha mambo ya uongo dhidi yako
Endelea kumaliza stress zako kwangu
Huwezi kuwa uko mental stable ukaanza kumtuhumu mtu ambaye humjui kwa mambo
Umerudi JF, leta vielelezo vyako hapa, huko Tiktok na Youtube waachie watumiaji wa huko.Nimeeleze nyuzi nyingi huku sana mwaka jana ila sahivi nimejikita tiktok na youtube
Sio mehemkoPunguza mihemko
Nipo jf sasa unaposema nimerudiUmerudi JF, leta vielelezo vyako hapa, huko Tiktok na Youtube waachie watumiaji wa huko.
Ok tafuta shughul ya kufanyaSio mehemko
Hakuna mtu yuko mental stable akaanza kumzushia mtu uongo ambaye hata hamjui
Alafu mimi sewekagi watu kwenye ignore list kwa hiyo endelea kutoa stress zako
Dah dogo karudi tena. Kina Lamomy kazi wanayo wanavyompendaga huyu poyoyo eti hendsome anatema madini na kushusha nondo za haaatariii.NOTE
- Changamoto ni kwamba waafrika wengi hawana malengo ya mwaka sasa ni ngumu sana kukuelewa kama unamipango ya miaka 9 ijayo
- Nchi zilizoendelea maandalizi binasi sio muhimu sana sababu mifumo yao imenyooka ila kwa nchi kama Tanzania ambayo mifumo yake sio mizuri maandalizi binafsi ni muhimu sana mfano nchi kama marekani ni kawaida mahakama kumuwekea pingamizi Rais mifumo yao ni imara sana ni rahisi kumdhibiti Rais kilaza
Tatizo kubwa sana la Tanzania ni kupata viongozi nafasi za juu kwa ngekewa ukweli ni kwamba majority ya marais wa Tanzania hawakuwa na mpango au maandalizi binafsi ya kuwa Rais wa Tanzania wengi ilitokea kama zali
Wengi walisubiria wakati wa kuchukua form wakatest zali wakajikuta wamepewa tiketi na chama kugombea urais- na kama ndo chama cha mapinduzi kimekupitisha ndo basi wewe tayari ni Rais wa Tanzania
Ni ngumu sana kwa nchi kuendelea kama viongoizi wa nafasi za juu wanapatika kwa ngekewa na hawana maandalizi yeyote binafasi
Maandalizi nayoyaongelea ni maandalizi binafsi mfano magufuli alipata urais kwa ngekewa tunaona alivyokuwa Rais akawa haelewi aanze na lipi yote ile ni kwa sababu hakujipanga yeye binafsi kuwa Rais wa Tanzania ilitokea kama zali
Lakini mimi binafsi siwalaumu viongozi jamii yetu kwa ujumla watu hawana malengo ya mwaka sasa unategemea nini kutoka kwa viongozi ndo wawe na malengo
Wako watakao sema wana-malengo ila wengi wanamalengo lakini hawayapiginii malengo naongelea kuyapigania malengo
Sisi tunasubiria 2030 watu wakajaribu bahati zao ikitokea zali basi wanakuwa Raia ila hakuna maandalizi yeyote binafsi
Dogo nilishakuulizaga hutaki kunijibu. Hivi wewe ni mmeru wa wapi? Tengeru, Akheri, Sing'isi (kwa fundi), Momela, Nshupu, Njia ya Poli, Kikatiti, Jua kali, Merirani, Nkoaranga, Maji ya Chai?NOTE