Wauzaji wa Container Tz
JF-Expert Member
- Apr 5, 2020
- 2,224
- 4,092
TikTok unatumia jina Gani Mh Rais ajaye .Nimeeleze nyuzi nyingi huku sana mwaka jana ila sahivi nimejikita tiktok na youtube
TikTok unatumia jina Gani Mh Rais ajaye .Nimeeleze nyuzi nyingi huku sana mwaka jana ila sahivi nimejikita tiktok na youtube
Mbona bi mdachi hanayo?uraisi sio makalio ndugu
Mkuu rudisha avatar picha yako tuliyozoea kwa kile kipaka kimevaa mawani na kofia.Ungetuambia mipango yako ni ipi ya kuutafuta urais wa 2030.
Naona umezungumzia uhalisia wa jinsi marais wetu wanavyopatikana, sasa wewe njoo utuoneshe mipango yako ni ipi kama unautaka urais usio wa ngekewa.
Haujatuambia hata kama ni mwanachama wa chama chochote cha siasa, navyojua mgombea binafsi kwetu Tanzania hatakiwi.
Kwa mazingira ya siasa zetu naamini unajua wazi kabisa, urais wa ndoto hauwezekani, muulize Lowassa R.I.P na J. Makamba.
Hawa walikuwa na ndoto kama zako, tena zaidi wakiwa ndani ya chama cha siasa, lakini pamoja na vyote hivyo, bado walishindwa kutimiza ndoto zao.
Sasa ndio utuambie hapa, wewe una ndoto kama zao, utatumia njia gani nyingine tofauti nao ili ufanikiwe kutimiza lengo lako?
Shughuru the witch.TikTok unatumia jina Gani Mh Rais ajaye .
Duh...!NOTE
Nchi zilizoendelea mifumo yao imenyooka ila kwa Tanzania mifumo yake sio mizuri ni kawaida kumuweka Rais kilaza
Ni kweliTatizo kubwa sana la Tanzania ni kupata viongozi nafasi za juu kwa ngekewa ukweli ni kwamba majority ya marais wa Tanzania hawakuwa na mpango ya kuwa Rais wa Tanzania wengi ilitokea kama zali
Wanao amua nani awe mgombea Urais wa Chama Kubwa sio hao wagombea, ni watu wachache wanaoitwa the inner circle, hivyo japo Magufuli anajijua kuwa yeye ali beep tuu, simu ikapokelewa, hivyo akajihesabu ameupata Urais kama zali, hivyo akajijua, yeye ndie yeye, kwenye urais wake, hana ubia na mtu, kumbe masikini wa watu hakujua!, angalia tarehe ya bandiko hili!, GE2015 - Mgombea wa Urais Kwa tiketi ya CCM, 2015 "Could Be" John Pombe MagufuliMaandalizi nayoyaongelea ni maandalizi binafsi mfano magufuli alipata urais kwa ngekewa tunaona alivyokuwa Rais akawa haelewi aanze na lipi yote ile ni kwa sababu hakujipanga yeye binafsi kuwa Rais wa Tanzania ilitokea kama zali
Nyie endeleeni tuu kusubiria rais wa 2030 kama zali, akina sisi tunamjua rais wetu wa 2030 ila hatumtaji Trends Reading: Japo Rais wa 2030 Namjua, Simtaji ili Kumlinda!. Be The First to Know Good News Kawe-2030, MB.ni Mwanamke!, Kawe Itapaa kwa Maendeleo!Sisi tunasubiria 2030 watu wakajaribu bahati zao ikitokea zali basi wanakuwa Rais ila hakuna maandalizi yeyote binafsi
hahahaaa !uraisi sio makalio ndugu
Magufuli angejipanga angekuwa Rais mzuri sana ila aliupata urais kwa ngekewaNakuunga mkono ndugu yetu mtanzania mwenye ndoto zako kwa faida ya Taifa. Ila umekosea hapo ulipomshambulia JIWE. Kwa hilo tu sina namna niungane na hiyo miezi michanga hapo juu kukupiga mawe.
Sio kosa mtu kuwa na nia ya urais wa Tanzaniauraisi sio makalio ndugu
Kila mtu anafanya kazi sasa utaishije bila kaziOk tafuta shughul ya kufanya
Alijipanga sana bwn. Dennis ila alikua na moyo wa huruma mno, na of course ikamponza, kuwaweka nyoka wanamitandao hai hadi wakamzidi kete. All in all, hakua Mungu kujua yote yanayomzunguka.Magufuli angejipanga angekuwa Rais mzuri sana ila aliupata urais kwa ngekewa
Nitakitafuta usijali.Mkuu rudisha avatar picha yako tuliyozoea kwa kile kipaka kimevaa mawani na kofia.